Wangoni na wamatengo waogopeni

Wangoni na wamatengo waogopeni

Kuna wimbo unaimbwa na Wangoni "ee bwana mdogo hiyo tabia gani, wanawake ni wengi wanaonekana hawa na sasa vipi mke wangu umfanye mpenzi" mwenye nao anitumie plz

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Katika jamii za Kibantu tumelelewakatika maisha ya utandi uliyosaidia kuleta udugu na utengamano na umoja wataifa hili na kuondoa ukabila! Nachotaka kusema watani zangu Wangonina Wamatengo ukiwapapesa wanafikisha, ila ukimpatia mwanamke imekula kwako! tatizo lingineWamatengo wanatofauti na wamatengo, ila hata wamatengo nao wanajifanya Wangonihapo wananiacha hio! Wana JF hebu tuambie kabila la watani zako wanasifagani maarufu?
Asanteeeeeeeeee.
Wewe jamaa upo sahihi 100%. Imenikuta hyo,nimemsaliti demu wa kingoni.. Aiseee!! Nimejuta,kanidhalilisha,kanitia aibu haswa.. Kaja kwangu bila kitu chochote lakini nilishangaa familia yao ilipodai kuwa amechuma kila kitu na mimi,mara ananidai milioni 1,mara wakaanza kupiga simu upande ulionifanya nimwache kuwa wasimruhusu bint awe na mimi kwa 7bu bado hatujagawana mali. Nilifadhaika sana,tena sana! Wangoni watu wabaya sana! Wafupi lakin wana visasa vya kinyama,hawakubali yaishe hv hv,nahc wanaweza hata kukuroga uzazi wale!
S

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee wangu ni Mngoni PURE ila Mama ni Mnyasa.. Technically Mimi ni "Half-cast"..Nimefurahi kuona ndugu zangu mpo humu..

NB:Ni fact kwamba Wanaume wa Kingoni are the Most Gentlemen kinds of Men in Africa..




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom