ukisimama njia panda sana mvua itakukuta hapo au gari litakuacha kabla ya kufanya maamuzi ya kwenda either g.mboto au mbagala be strong chagua kile akili yako inaona ni sahihi .. Here I am just for you..

Hakuna watu ambao hawaendani! Hizo ni hisia zako tu, mapenzi yanajengwa haswa uaminifu na kusameheana na usipende kufuatilia anachofanya mpenzi wako utaishia kuumia na kuachana nae.