Mkuu hizi ni hadithi za kubuni zilizonivutia sana nikiwa mtoto.
Nilikuja jua baadaye kuwa zilikuwa na msingi kwenye matukio ya kweli katika maisha.
Kwa mfano, mwandishi H Rider Haggard alimtumia mwindaji maarufu mwiingereza, Frederick Selous Courtney kumuumba mhusika mkuu wa Mashimo ya Mfalme Sulemani na Hadithi ya Alan Quarterman, Alan Quaterman(Makumazhan).
Shukrani kwa kumbukumbu nzuri sana.