Wangapi wanamkumbuka Umsolopagaas?

Ebwanaee..
Nimekumbuka hiki!
Ninacho ila kimechakaa!! baadhi ya karatasi zake hazipo,
Ila huwa nakisoma hivyo hivyo!
Nikikumbuka kila kisa walipoingia kwenye pango baada na wale kaa, kule mtoni!
Noma sana...
 
Mtu akikuambia una MSOLOPA mkubwa manake nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…