Mandingo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 5,964
- 7,863
Siku hizi kaamua kuwa baunsa!?
hahahaha
Siku hizi kaamua kuwa baunsa!?
Anaitwa Daz Baba..
![]()
nifah uko too youngHahahahahaaa! Ujue kipindi hicho huu wimbo ulivyotoka nilikua std 4 na nilikua naupenda sana.Hivyo nikawa naujua wote na hadi leo bado naukumbuka namna hiyo....
Sio huo tu, nakumbuka nyingi pia.Namshukuru Mungu maana nina kumbukumbu sana.
vp mchizi wangu mbona naona umesizi
inavyoonekana kama moyoni una majonzi
au dili zako leo haziendi sawa
jinsi unavoonekana kama umepagawa
niambie ili nielewe, ili na mie nisipagawe
Mashine zote hizo kijana kaishia kuwa hivyo alivyo?Namkumbuka thru namba hzo hapo;
1.Nipe Tano
2.Wife
3.Barua
4.Kamanda
5.Jirushe
6.Njoo
7.Viwanjani
8.Life stlye
9.Saluti
10.Shukumu
11.Tanzaniano
12.Namba 8 ft Fid Q
13.Elimu dunia ft. Afande Selle
Siku hizi kaamua kuwa baunsa!?
Duh! Leo nimemkumbuka tena nikawa naimba ule wimbo wake wa wife....
"Long time namzimia huyu shori, sikuamini kua ndie atakaenifaa
Sikuwahi hata kupiga nae story ila siku moja maskani nimekaa nashangaa....kupokea yake barua, anadai mi ndo namchengua.....hata jibu la kumpa mwenzenu sikujua nikamuambia basi mama moyo wangu chukua"
That's my favourite among his songs.
tatizo la bongo, kipofu anamwongoza kipofu...
wanaotakiwa kuwaongoza hawa wako kimya tu. Kikitokea kifo hapo tutawasikia sana manyota wenzie wanvyotoka povu..
Bangi bila chakula ni mbaya sana!Anaitwa Daz Baba..
![]()
Kwa kweli hili swala la dawa za kulevya lisikie kwa jirani..........mimi nikiambiwa nimchinje muuza unga.......namchinja saa hiyo hiyo..........limetuletea balaa kubwa sana kwenye familia yetu...........
Hapo kwa RED ni bonge la ngomaNamkumbuka thru namba hzo hapo;
1.Nipe Tano
2.Wife
3.Barua
4.Kamanda
5.Jirushe
6.Njoo
7.Viwanjani
8.Life stlye
9.Saluti
10.Shukumu
11.Tanzaniano
12.Namba 8 ft Fid Q
13.Elimu dunia ft. Afande Selle
Siku zote ukipenda kupata ile starehe ya mwisho dunian lazima kuna mahala utakapo jishkia chini tuu
wee tizama wote walopenda ile starehe zaid ya starehe iliyo kuu kuliko zote usoweza kuipata popote pale hata uwe wa aina gani lazima uje uregret tu