excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,463
- 17,960
- Thread starter
- #41
Bangi bila chakula ni mbaya sana!
hiki ni Kipaji Halisi mkuu toka enzi zile za barua.
vijana wasipo BADILI TABIA kwa kweli wataishia kuchangiwa tu pesa za matibabu.
Last edited by a moderator: