Wangapi wanamiliki gari Zero kilometres

Wangapi wanamiliki gari Zero kilometres

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
1,617
Reaction score
3,718
Hy Broski , Gari unalolimiliki ww ndo umelitoa Bikra au ni Used. Mjini wanaomiliki Zero kilometer wachache , halafu watu wengine wanamiliki Magari yameshatumiwa na watu zaidi ya 10 na hawaoni shida , hapo service za kujirudia lazma zihusike . Watu wazima wananielewa
 
Acha fix. Me nafanya kazi kwenye eneo ambalo donor alishanunua gari la mradi jipya with 0km na likaja makaratasi yake

Au unamaanishaje kusema hakuna binadamu kaninua gari mpya 0km?
Hujanielewa bibie, gari linapoingizwa ndani ya meli linatembezwa, hivyo haliwezi kufika bandarini na Zero km. Likitoka katika meli linaendeshwa kupakiwa, na likitoka bandarini lazima liendeshwe hadi linapokwenda. Kwa bahati mbaya sie ni mathematicians
 
Lakini yananunuliwa na 0km
We uliandika hakuna mtu duniani amewahi kumiliki na 0km. Sasa kama mnunuaji na anaponunulia havihitaji meli wala bandari.

Anyway
Kwanza uzi unahusu 0km ya mwanamke.
Bye
 
Acha fix. Me nafanya kazi kwenye eneo ambalo donor alishanunua gari la mradi jipya with 0km na likaja na makaratasi yake

Au unamaanishaje kusema hakuna binadamu kaninua gari mpya 0km?
Hahahaha nadhani anamaanisha itakua imetembea tu ,hapo kutoka Port Hadi yard au showroom ama nyumbani ,ila kufika kwa mteja itakua imeenda hata 10km
 
Si rahisi kumiliki gari Zero KM. Hakuna binadamu yeyote ambaye alishamiliki zero km hapa duniani
Ngoja nikuambie mkuu huko dunia ya kwanza ¾ ya watu hununua magari 0 KM. Hata bongo baadhi hununua 0 KM.

KAma ni gari ni 0KM hayo mengine achana nayo
 
Ngoja nikuambie mkuu huko dunia ya kwanza ¾ ya watu hununua magari 0 KM. Hata bongo baadhi hununua 0 KM.

KAma ni gari ni 0KM hayo mengine achana nayo
Tatizo lenu hamnielewi. 0KM inasomwa katika Dashboard.

Najua mnamaanisha kuwa gari ambalo mmiliki anakuwa wa kwanza tangu itengenezwe. Hata Depal alimaanisha hivyo. Mbona wengi tu na hata serikali huwa hainunui gari lililokwisha milikiwa.

Mimi nilimaanisha dashboard inayosoma zero au sifuri.
 
Hy Broski , Gari unalolimiliki ww ndo umelitoa Bikra au ni Used. Mjini wanaomiliki Zero kilometer wachache , halafu watu wengine wanamiliki Magari yameshatumiwa na watu zaidi ya 10 na hawaoni shida , hapo service za kujirudia lazma zihusike . Watu wazima wananielewa
umewachanganya hadi mods wakauweka Jf garage badala ya MMU
 
Acha fix. Me nafanya kazi kwenye eneo ambalo donor alishanunua gari la mradi jipya with 0km na likaja na makaratasi yake

Au unamaanishaje kusema hakuna binadamu kanunua gari mpya 0km?
ww ni zero kilomita? hatuongelei magari hapa
 
Back
Top Bottom