Wangapi wanaijua alchemy

Mimi sijui......na nikifundishwa naweza nisijue kabisa.........kuna esabu........?.....

Alchemy ni sayansi ya kuzidisha na inatokana na phenomenon ya kiasili mno ya Ukuaji kwamba hakuna kinachotoka kwenye utupu
Alchemy sio mchakato wa kutengeneza kitu toka kwenye utupu bali ni sayansi ya kuongeza na kuboresha kilichopo tayari
 
Pipooooozzzz power. Chagueni Lowassa chagua Mabadiliko asanteni sana........
 
Nchi nyingi za kibepari matajiri wengi faida na magawio kwenye mabenki hisa kwenye makampuni nk wanaitumia sana kanuni ya ALCHEMY
yaani mkono mtupu haulambwi, una bei gani utapata kulingana na ulichonacho... Kibiblia pia habari za talanta ni mtazamo huohuo
Alchemy pia iko kwenye dhana ya kutoa na kupokea, habari za mkono wa birika na ubatili usio na hekima, kwenye uumbaji na hata mambo ya kiroho hata hawa manabii na mitume wetu wanaitumia sana alchemy
cc: Preta
 
Last edited by a moderator:
Hao jamaa walitaka tengeneza dawa ya kuzuia uzee na kufa wakashindwa ikawa mwisho wao
 
Hao jamaa walitaka tengeneza dawa ya kuzuia uzee na kufa wakashindwa ikawa mwisho wao

Unajua ni kwanini? Ndio maana alchemy haizungumzii kuhusu wazi(thought) japo huwezi kuzungumzia theory bila kuwa na thought
Kwahiyo pale wao walipokwamia palikuja kupata mwendelezo wa kibailojia na kisayansi na ni mengi kwakweli yamekuja kuendelezwa kutokana na wazo lao hilo
Kwahiyo kimsingi Alchemy ni thought theory na practice
 

Thought na theory hapo nakubaliana nawe practice ilishindikana zamani mfano
1 Kutengeneza almasi(diamond) maabara
2 kutengeneza chakula maabara
3 dawa ya kuzuia uzee na kifo

Hapo kweny practice ilishindwa kabisaaa ikabaki chemistry tunayosoma leo duniani ambayo imekua theory ......but kama una maaelezo zaidi ya hayo tupe tujifunze mengine mengi
 

tujuze kwanini bro
 

Sahihi kabisa Gobe, nilifanya kosa kwa kutoweka angalizo hilo, dunia ina mengi na bila kujali kitu kiko kamili kiasi gani, huwa hakikosi utata (ambiguity)
 
Last edited by a moderator:
ram pita huku
 
Last edited by a moderator:
Reactions: ram
Alchemy ni sayansi ya kuzidisha na inatokana na phenomenon ya kiasili mno ya Ukuaji kwamba hakuna kinachotoka kwenye utupu
Alchemy sio mchakato wa kutengeneza kitu toka kwenye utupu bali ni sayansi ya kuongeza na kuboresha kilichopo tayari


Wewe ulitoka kwenye gogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…