Wangapi wanaamini Mobutu alikuwa Rais mbaya?

Wangapi wanaamini Mobutu alikuwa Rais mbaya?

Siyo sahihi kusema Mobutu alivyokuwa madarakani nchi ilikuwa na amani. Wakongo walichapana miaka ya 1977 na 1978 na tena mwaka 1997.
 
Watu tuliaminishwa na watu wengine kuwa mobutu alikuwa raisi mbaya saana na yeye ndo chanzo cha vurugo za Kongo

Ndivyo tulivyo aminishwa na historia ya wazungu pamoja na historia ya watu weusi wenzetu

Kuna raia moja wa guinee aliwahi kusema kuwa mobutu alikuwa anatumia uchawi mweusi kuongoza Kongo alikuwa anatowa watoto wake kafara ili apate nguvu

Na mwingine kutoka Burundi aliwahi kusema mobutu alikuwa raisi mbaya alikuwa anakula nyama za raia wake

Swali kwanini wanafanya propaganda zote hizi kwa mobutu

Je haya yote ni kweli?

Kama wewe ni mfatiliaji mzuri wa historia unafuatilia video za mobutu
Mwaka 1985 mobutu alikuwa anafanya interview na radio kutoka Ufaransa
Kuna maswali ambayo aliulizwa kuhusu zaire alijibu mengi
Ila nitanukuu baadhi ya jibu fulani
Alisema kuwa kama zaire future yake itakuwa mbaya ni kwasababu ya wabeljiji na Wafaransa pamoja na wa Marekani maana ao ndo wana mpango wa kuaribu zaire ila kama mimi nipo madarakani icho kitu hakiwezi kutokea kamwe ukitaka kupata video hii nenda YouTube
Mobutu aliwahi kusema kama wewe ni muoga huwezi kuongoza zaire

Kuna siri kubwa hapa kati kati ya wazungu na mobutu

Tuende kwa wazaire wenyewe

Wazaire ukiwauliza je raisi bora wa mda wote kongo ni nani?
Watasema mobutu
Watu usema
Congo +zaire = mobutu

Huyu mtu aliwezi kulinda umoja wa nchi
Amani ya nchi
Na kipindi kile ilikuwa fahari kuitwa mzairois

Kipindi kile Kongo ilikuwa one of the best powerful country in Africa

Nguvu zile zilikwenda wapi?

Amani ile ilikwenda wapi?

Umoja ulikwenda wapi?

View attachment 2394570
We wazaire uliwauliza lini na wapi. Watz ndio maana mnadharaulika ni mapoyoyo bila ukweli.
 
Nimesikitika sana kwa ulivo nichukulia, mimi nimesoma sana na kutazama youtube interview za viongozi wengi, angalia threads zangu nilizoleta humu,baadhi ya Histolical accounts huwezi kuzipata sehemu yeyote mtandaoni kwa kiswahili isipokuwa mimi tu ndiye nimeandika humu JF

Bahati mbaya sina mbs za kutosha ila naahidi kesho nitaunga mbs niweke hapa interview ya Idd Amin alihojiwa na mwandishi wa habari na hiyo telegram aliyomtumia Nyerere ikaoneshwa kabisa,IDD amin alicheka sana na akakubali ni kweli aliandika
Nakumbuka ID yako ya zamani Lucas Mobotu kama sikosei na tumefaidika humu na nyuzi zako nyingi za kihistoria barikiwa mkuu kea nondoz zako.
 
Mobutu aliabudiwa kama Mungu. The saviour and creator. Pia yeye ndiye aliruhusu wanajeshi waende kupora eastern congo.

Jamaa alikuwa anapenda misifa na anasa sana, chini kaweka ngozi ya chuo kukanyagia na machawa pembeni wanaimba na kumsifu .

Nguvu na tambo zote za mwanadamu zinaisha wakati karibia na umauti yaani mtu anakuwa mdogo sana mali ,watu ,utajiri na majeshi hayana msaada tena unabaki na mawazo ya kupambania uhai tu.
 
WaTanzania wengi ni wavivu kusoma au kutazama videos ndio maana mpaka leo wanadhani Amin alikuwa na tatizo na Tz,
Nyerere alikosea sana kuanzisha vita ile,waambie wakupe picha/video yeyote au source yoyote ya kuaminika ituthibitishie kwamba kagera ilitwaliwa na Amin uone watakavyokimbia mitini, Amin alikuwa analinda nchi yake na hakuwa anafikilia kutawala Tz bali kuondoa serikali iliyokuwa inamu attack
Amini hakutwaa Kagera nzima, alitwaa kipande kutoka mtukula hadi mto Kagera, na wanajeshi wake kuua na kubaka na kupora wananchi
Sasa hapo Nyerere alikuwa na option gani?
 
Ukifuatilia vizur,
1. Ukana Jinsi Wazungu wanavojitahidi kumchafua Putin

2. Afu ukaangalia jinsi gadafi na sadam walivouwawa kwa visingizio lukuki

3 Afu ukaona jinsi magufuli alivochukiwa na wazungu mpk anaingia kaburini

Hapo Ndo utaamini
Wale wengi tulioaminishwa kwamba Ni madikteta na magaidi hata aikua kweli.

Huenda Mobutu, idi Amin, Osama na wengine hawakua watu wabaya Kama tulivyoaminishwa
Hao wengine wanaweza kuwa kweli ila kwa JP ondoa huo upumbavu ulioandika. Hatusimuliwi tuliona uongozi wa huyu mtu. Hakuwa mtu kabisa
 
Amini hakutwaa Kagera nzima, alitwaa kipande kutoka mtukula hadi mto Kagera, na wanajeshi wake kuua na kubaka na kupora wananchi
Sasa hapo Nyerere alikuwa na option gani?
Ulikua na miaka mingapi?
 
Kumbe na mimi ni mzungu,maana nilumchukia magufuli
Ulidanganywa na propaganda zao, Hata Lumumba hakuuawa na wazungu, ni weusi wenzie walimchinja, Saddam Hussein ni waarabu walimuua, Ghadafi walibia wenzie walimdhalilisha kwa kumuingizia vijititi nyuma huju wakimtembeza barabarani, mwisho kumuua, huwezi kumuona mzungu pale.

Hutaona beberu akimtukana Magufuri, ni hawahawa aliowajengea barabara, madaraja, umeme wa 27,000, vituo vya afya kila Kona ya nchi, ni Hawa aliojitoa kupambana na majambazi, magaidi ya kibiti hadi nchi ikatulia, wanashangilia kifo chake
 
Mkuu kwisha , kiukweli kabisa, mabeberu ni watu wabaya sana!, angalia Iraq, kosa la Saadam ni utajiri wa mafuta!. Angalia Libya, kosa la Ghadafi ni kutaka kuwaunganisha wa Afrika tuunde USAf, japo US ndio the richest continent in terms of GDP, Africa ndio the richest continent in terms of resources na kuwa the poorest kwasababu wana plunders!. Ghadaf akashauri tuanzisha AfMF tuachane na IMF, tuanzishe AfB tuachane na WB, aliisha pandisha satelite tuachane na ITU, jamaa wakaamua he had to go!.

Hata hapa kwetu JPM alipowabana kulinda resilimali zetu kwa kubadili sheria ya madini, niliuliza humu, tutaweza kumlinda JPM? Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts?

Baadaye nikauliza US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?

Where is he now?!.

Zaidi ya kutangaziwa ile siku, when the game was over long before, is anyone knows what really happened?.

P
Jp hakuwa mtu Acha ujinga
 
Ulidanganywa na propaganda zao, Hata Lumumba hakuuawa na wazungu, ni weusi wenzie walimchinja, Saddam Hussein ni waarabu walimuua, Ghadafi walibia wenzie walimdhalilisha kwa kumuingizia vijititi nyuma huju wakimtembeza barabarani, mwisho kumuua, huwezi kumuona mzungu pale.

Hutaona beberu akimtukana Magufuri, ni hawahawa aliowajengea barabara, madaraja, umeme wa 27,000, vituo vya afya kila Kona ya nchi, ni Hawa aliojitoa kupambana na majambazi, magaidi ya kibiti hadi nchi ikatulia, wanashangilia kifo chake
JPM huyo alikuwa ovyo muhuni tu
 
Mara nyingi kifo chako kinathibitisha wewe ulikuwa ni kiongozi wa aina gani. Mobutu alizikwa na watu wanane tu tena Morocco mbali kabisa na Zaire nchi aliyoiongoza kwa miaka mingi.

JPM alizikwa na mamilioni wa watanzania tena wakilikimbiza gari lililobeba mwili kila lilipopita, wengine kinamama wakaweka kanga zao njiani kumuaga.

Mobutu alikuw ana sifa zote za usaliti kwa umaskini wa mwananchi mmoja mmoja wa Zaire
 
Mobutu aliabudiwa kama Mungu. The saviour and creator. Pia yeye ndiye aliruhusu wanajeshi waende kupora eastern congo.

Mkuu achana na huyo taahira alieleta huu uzi. Ni mpumbavu flani hivi asiejitambua. Na huenda ni mataga
 
Wewe pamoja na uzee wako nilidhani utakuwa unaweza kuchambua pumba na mchele
Mobutu si ndio alikuwa kibaraka wa mabeberu? Pamoja na ufujaji mwingi wa mali na mauaji
Mobutu si ndio alikuwa akiwapa hifadhi waasi wa Kihutu waliokuwa waliivamia Rwanda kila mara hadi Kagame akaivamia Zaire na kuleta crisis kubwa ya kibinadamu na kiuchumi?
Basi hata Nyerere alikuwa kibaraka wa mabeberu maana alikuwa haivani na hao viongozi mnaowasifu kuwa ni mashujaa, akina Idd Amini na Mobutu
Huyo ni mzee wa ovyo achana nae. Huwa anatafuta nyuzi zenye mrengo kama aliokwisha andika huko nyuma na kuupa validity hata kama ni wa ovyo ili aonekane ni mwandishi mwenye maono kumbe ni mpuuzi tu!
 
Watu tuliaminishwa na watu wengine kuwa mobutu alikuwa raisi mbaya saana na yeye ndo chanzo cha vurugo za Kongo

Ndivyo tulivyo aminishwa na historia ya wazungu pamoja na historia ya watu weusi wenzetu

Kuna raia moja wa guinee aliwahi kusema kuwa mobutu alikuwa anatumia uchawi mweusi kuongoza Kongo alikuwa anatowa watoto wake kafara ili apate nguvu

Na mwingine kutoka Burundi aliwahi kusema mobutu alikuwa raisi mbaya alikuwa anakula nyama za raia wake

Swali kwanini wanafanya propaganda zote hizi kwa mobutu

Je haya yote ni kweli?

Kama wewe ni mfatiliaji mzuri wa historia unafuatilia video za mobutu
Mwaka 1985 mobutu alikuwa anafanya interview na radio kutoka Ufaransa
Kuna maswali ambayo aliulizwa kuhusu zaire alijibu mengi
Ila nitanukuu baadhi ya jibu fulani
Alisema kuwa kama zaire future yake itakuwa mbaya ni kwasababu ya wabeljiji na Wafaransa pamoja na wa Marekani maana ao ndo wana mpango wa kuaribu zaire ila kama mimi nipo madarakani icho kitu hakiwezi kutokea kamwe ukitaka kupata video hii nenda YouTube
Mobutu aliwahi kusema kama wewe ni muoga huwezi kuongoza zaire

Kuna siri kubwa hapa kati kati ya wazungu na mobutu

Tuende kwa wazaire wenyewe

Wazaire ukiwauliza je raisi bora wa mda wote kongo ni nani?
Watasema mobutu
Watu usema
Congo +zaire = mobutu

Huyu mtu aliwezi kulinda umoja wa nchi
Amani ya nchi
Na kipindi kile ilikuwa fahari kuitwa mzairois

Kipindi kile Kongo ilikuwa one of the best powerful country in Africa

Nguvu zile zilikwenda wapi?

Amani ile ilikwenda wapi?

Umoja ulikwenda wapi?

View attachment 2394570
Unakuwa chawa mpaka wa Marehemu? Kiongozi aliyefikia kufanya starehe za kufuru mpaka anaagiza wapishi toka France kwenye harusi ya bintiye Kwa gharama ya serikali bado unamtetea?
 
Mara nyingi kifo chako kinathibitisha wewe ulikuwa ni kiongozi wa aina gani. Mobutu alizikwa na watu wanane tu tena Morocco mbali kabisa na Zaire nchi aliyoiongoza kwa miaka mingi.

JPM alizikwa na mamilioni wa watanzania tena wakilikimbiza gari lililobeba mwili kila lilipopita, wengine kinamama wakaweka kanga zao njiani kumuaga.

Mobutu alikuw ana sifa zote za usaliti kwa umaskini wa mwananchi mmoja mmoja wa Zaire
Mamilioni wapi? Watu walienda kushangaa tu mizinga si unajua ushamba wa wa tz? Kiufupi mwamba hakuwa mtu kabisa!
 
Back
Top Bottom