Unamtetea Mobutu? Wewe Leo unamtetea Mobutu? Kabisa!!!!Mkuu kwisha , kiukweli kabisa, mabeberu ni watu wabaya sana!, angalia Iraq, kosa la Saadam ni utajiri wa mafuta!. Angalia Libya, kosa la Ghadafi ni kutaka kuwaunganisha wa Afrika tuunde USAf, japo US ndio the richest continent in terms of GDP, Africa ndio the richest continent in terms of resources na kuwa the poorest kwasababu wana plunders!. Ghadaf akashauri tuanzisha AfMF tuachane na IMF, tuanzishe AfB tuachane na WB, aliisha pandisha satelite tuachane na ITU, jamaa wakaamua he had to go!.
Hata hapa kwetu JPM alipowabana kulinda resilimali zetu kwa kubadili sheria ya madini, niliuliza humu, tutaweza kumlinda JPM? Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts?
Baadaye nikauliza US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?
Where is he now?!.
Zaidi ya kutangaziwa ile siku, when the game was over long before, is anyone knows what really happened?.
P
Huyo mtu wenu alikuwa mgonjwa. Msisingizie wazungu.Mkuu kwisha , kiukweli kabisa, mabeberu ni watu wabaya sana!, angalia Iraq, kosa la Saadam ni utajiri wa mafuta!. Angalia Libya, kosa la Ghadafi ni kutaka kuwaunganisha wa Afrika tuunde USAf, japo US ndio the richest continent in terms of GDP, Africa ndio the richest continent in terms of resources na kuwa the poorest kwasababu wana plunders!. Ghadaf akashauri tuanzisha AfMF tuachane na IMF, tuanzishe AfB tuachane na WB, aliisha pandisha satelite tuachane na ITU, jamaa wakaamua he had to go!.
Hata hapa kwetu JPM alipowabana kulinda resilimali zetu kwa kubadili sheria ya madini, niliuliza humu, tutaweza kumlinda JPM? Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts?
Baadaye nikauliza US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?
Where is he now?!.
Zaidi ya kutangaziwa ile siku, when the game was over long before, is anyone knows what really happened?.
P
Kama tunavyoaminishwa kuhusu serikali ya Zanzibar na Mapinduzi kuwa alipinduliwa mfalme na siyo Serikali ya Shamte iliyochaguliwa na watuMkuu kwisha , kiukweli kabisa, mabeberu ni watu wabaya sana!, angalia Iraq, kosa la Saadam ni utajiri wa mafuta!. Angalia Libya, kosa la Ghadafi ni kutaka kuwaunganisha wa Afrika tuunde USAf, japo US ndio the richest continent in terms of GDP, Africa ndio the richest continent in terms of resources na kuwa the poorest kwasababu wana plunders!. Ghadaf akashauri tuanzisha AfMF tuachane na IMF, tuanzishe AfB tuachane na WB, aliisha pandisha satelite tuachane na ITU, jamaa wakaamua he had to go!.
Hata hapa kwetu JPM alipowabana kulinda resilimali zetu kwa kubadili sheria ya madini, niliuliza humu, tutaweza kumlinda JPM? Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts?
Baadaye nikauliza US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?
Where is he now?!.
Zaidi ya kutangaziwa ile siku, when the game was over long before, is anyone knows what really happened?.
P
Alipendwa na watu kaka, hata kinamama wa huko Geita walioweka kanga barabarani na wao waliishangaa mizinga?.Mamilioni wapi? Watu walienda kushangaa tu mizinga si unajua ushamba wa wa tz? Kiufupi mwamba hakuwa mtu kabisa!
Magu lilikuwa liuwaji, jizi, na jitu linalopenda majisifu.Mkuu kwisha , kiukweli kabisa, mabeberu ni watu wabaya sana!, angalia Iraq, kosa la Saadam ni utajiri wa mafuta!. Angalia Libya, kosa la Ghadafi ni kutaka kuwaunganisha wa Afrika tuunde USAf, japo US ndio the richest continent in terms of GDP, Africa ndio the richest continent in terms of resources na kuwa the poorest kwasababu wana plunders!. Ghadaf akashauri tuanzisha AfMF tuachane na IMF, tuanzishe AfB tuachane na WB, aliisha pandisha satelite tuachane na ITU, jamaa wakaamua he had to go!.
Hata hapa kwetu JPM alipowabana kulinda resilimali zetu kwa kubadili sheria ya madini, niliuliza humu, tutaweza kumlinda JPM? Zit kifo cha kawaida a Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts?
Baadaye nikauliza US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?
Where is he now?!.
Zaidi ya kutangaziwa ile siku, when the game was over long before, is anyone knows what really happened?.
P
Huko hakuuwa mtu lakini kwa waliouwawa na kutesa jamaa zao na kuchukuliwa Mali na kubambikiwa kesi ,Jiwe lilikuwa jambazi tu lililostahili adhabu kaliAlipendwa na watu kaka, hata kinamama wa huko Geita walioweka kanga barabarani na wao waliishangaa mizinga?.
JPM aligusa mioyo ya watu, angalau aliwaongelea na kuonyesha kuwajali.
Hakuna barabara yamaana iliyo jengwa namagu akiwa rais ila zilijengwa kipindi yeye akiwa waziri waujenzi hini ya kikweteUlidanganywa na propaganda zao, Hata Lumumba hakuuawa na wazungu, ni weusi wenzie walimchinja, Saddam Hussein ni waarabu walimuua, Ghadafi walibia wenzie walimdhalilisha kwa kumuingizia vijititi nyuma huju wakimtembeza barabarani, mwisho kumuua, huwezi kumuona mzungu pale.
Hutaona beberu akimtukana Magufuri, ni hawahawa aliowajengea barabara, madaraja, umeme wa 27,000, vituo vya afya kila Kona ya nchi, ni Hawa aliojitoa kupambana na majambazi, magaidi ya kibiti hadi nchi ikatulia, wanashangilia kifo chake
Basi na mimi nitakuwa gaidi maana nilishangilia kweli kifo cha lile dubwanaUlidanganywa na propaganda zao, Hata Lumumba hakuuawa na wazungu, ni weusi wenzie walimchinja, Saddam Hussein ni waarabu walimuua, Ghadafi walibia wenzie walimdhalilisha kwa kumuingizia vijititi nyuma huju wakimtembeza barabarani, mwisho kumuua, huwezi kumuona mzungu pale.
Hutaona beberu akimtukana Magufuri, ni hawahawa aliowajengea barabara, madaraja, umeme wa 27,000, vituo vya afya kila Kona ya nchi, ni Hawa aliojitoa kupambana na majambazi, magaidi ya kibiti hadi nchi ikatulia, wanashangilia kifo chake
Ukimuona wewe Jambazi kuna wale aliwawezesha wakatumia taaluma zao kwa faida ya TZ yetu, wanamuona kama malaika vile.Huko hakuuwa mtu lakini kwa waliouwawa na kutesa jamaa zao na kuchukuliwa Mali na kubambikiwa kesi ,Jiwe lilikuwa jambazi tu lililostahili adhabu kali
😳😳😳Hadi wewe wasema hivyo?Jamaaani jamaaaani magufuri alikuwa rais wa hovyoo hebu eleweni
Asante SANA NAZIDI KUKUFOLO TUNinaendelea kuandika mfano kuwakumbusha viongozi wetu kuwa jamaa japo hayupo nasi lakini yupo Life After Life: Je, wajua Magufuli huko alipo anayaona yote? Je, tuendeleze 'double standards' ya 'cherry picking' au tuiachie Karma iwashughulikie?
Na pia saa hizi huyu jamaa yetu yuko wapi Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Ukimuona wewe Jambazi kuna wale aliwawezesha wakatumia taaluma zao kwa faida ya TZ yetu, wanamuona kama malaika vile.
Kuna wale walikuwa kitaa hawana hili wala lile na vyeti vyao vipo njema tu lakini nafasi zao zikishikiliwa na jamaa wa vyeti vya stationary, hawa watamkumbuka mpaka siku wanakwenda kaburini.
Kuna kina Laizer wa mawe yenye thamani wakaja kushika mabilioni ya pesa, hawa wataendelea kumkumbuka JPM.
Shetani kwa baadhi ya watu wachache tu, lakini malaika kwa mamilioni ya watanzania

Ni kweli maneno yako wengine ni akina Bashite
Mobutu wa Chattle?Watu tuliaminishwa na watu wengine kuwa mobutu alikuwa raisi mbaya saana na yeye ndo chanzo cha vurugo za Kongo
Ndivyo tulivyo aminishwa na historia ya wazungu pamoja na historia ya watu weusi wenzetu
Kuna raia moja wa guinee aliwahi kusema kuwa mobutu alikuwa anatumia uchawi mweusi kuongoza Kongo alikuwa anatowa watoto wake kafara ili apate nguvu
Na mwingine kutoka Burundi aliwahi kusema mobutu alikuwa raisi mbaya alikuwa anakula nyama za raia wake
Swali kwanini wanafanya propaganda zote hizi kwa mobutu
Je haya yote ni kweli?
Kama wewe ni mfatiliaji mzuri wa historia unafuatilia video za mobutu
Mwaka 1985 mobutu alikuwa anafanya interview na radio kutoka Ufaransa
Kuna maswali ambayo aliulizwa kuhusu zaire alijibu mengi
Ila nitanukuu baadhi ya jibu fulani
Alisema kuwa kama zaire future yake itakuwa mbaya ni kwasababu ya wabeljiji na Wafaransa pamoja na wa Marekani maana ao ndo wana mpango wa kuaribu zaire ila kama mimi nipo madarakani icho kitu hakiwezi kutokea kamwe ukitaka kupata video hii nenda YouTube
Mobutu aliwahi kusema kama wewe ni muoga huwezi kuongoza zaire
Kuna siri kubwa hapa kati kati ya wazungu na mobutu
Tuende kwa wazaire wenyewe
Wazaire ukiwauliza je raisi bora wa mda wote kongo ni nani?
Watasema mobutu
Watu usema
Congo +zaire = mobutu
Huyu mtu aliwezi kulinda umoja wa nchi
Amani ya nchi
Na kipindi kile ilikuwa fahari kuitwa mzairois
Kipindi kile Kongo ilikuwa one of the best powerful country in Africa
Nguvu zile zilikwenda wapi?
Amani ile ilikwenda wapi?
Umoja ulikwenda wapi?
View attachment 2394570
Ye mwenyewe alikuwa liuaji tuUlidanganywa na propaganda zao, Hata Lumumba hakuuawa na wazungu, ni weusi wenzie walimchinja, Saddam Hussein ni waarabu walimuua, Ghadafi walibia wenzie walimdhalilisha kwa kumuingizia vijititi nyuma huju wakimtembeza barabarani, mwisho kumuua, huwezi kumuona mzungu pale.
Hutaona beberu akimtukana Magufuri, ni hawahawa aliowajengea barabara, madaraja, umeme wa 27,000, vituo vya afya kila Kona ya nchi, ni Hawa aliojitoa kupambana na majambazi, magaidi ya kibiti hadi nchi ikatulia, wanashangilia kifo chake
Kumbe kumchukia muuaji ni kukosa akiliWew siyo mzungu ila ulimchukia kwa sababu huna akili tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app