Ni ukweli lakini sio uhalisia
Au ni glovehivyo vidole vyeupe vinaonekana kabisa ni makeup, huyo aliyetengeneza ni newbie
Kweli kaka! Huo mkono pichani umefanyiwa make up...na humo kwenye hizo stapler pins wamegandika na gundi nyekundu!hivyo vidole vyeupe vinaonekana kabisa ni makeup, huyo aliyetengeneza ni newbie
Huyu msanii ana akili sana