Ile achana nayo ilishaniumbua sitak kabisa
ha ha hah bora utembee na sabuni yako au usitumie kabisa hiyo sabuni sababu ohoooooooo utafuta ngumihahahahaa! Ulienda kucheza friend match?
Siku moja hapakutosha na kiota. Ile nafungua mlangu nikaona mtu ananikazia macho nakaa nakuta ananisogelea mwilin na kunikwida hahahaaa! Acha kabisa sasa hivi mm naenda na kipande cha jamaa kabisa hivi visabuni staki hata kuvigusa
juzi nilisikia harufu yake baada ya mr kuingia ndani nikamwambia hongera naona ofisini wameimprove wanawapa na tu Eva twa kuogea akaanza ooh hamna mke wangu hiyo ni perfume mpya nimekununulia angalia kwenye mfuko, nikamwambia huko unakopita mie nilitoka zamani ila nashukuru kwa perfume yenye harufu ya Eva
ha ha hah bora utembee na sabuni yako au usitumie kabisa hiyo sabuni sababu ohoooooooo utafuta ngumi

dah! Pole mkuu kwahyo mr alitafuna mnafu wa nje hahaa.
Njoo na ww umalizie hasira kwangu si alimwaga mboga naww mwaga ugali au unasemaje?
Mbabeeee ww??? Unanikumbusha siku moja nilikuta kondom moja kwenye gari ya mr.. akasema eti akimpa gari best yake ndio amemsahau nikamwambia huko najua sana ulikuwa na demu humu uka do naye
mie gari nilimwambia akimpa mtu bila sababu natoboa tyre naona kaacha, manake mara lije lina lipstick mara harufu hazieleweki sijui walikua wanafanya Lodge!
mie unafikiri nalipa! nshatoka huko sasa hivi nimejituliza nalea wanangu.
ila nilichokifanya ni kumpigisha game ya kibabe mpaka asubuhi akachelewa ofisini akaenda kupambana na maboss zake huko,
Yani viumbe wazito hawa acha tuu. .. eti akatunisha misuli eeh ulijuaje watu wana do kwenye gari basi utakuwa unafanyaga humu ww ndio maana unawahisi wenzio nikabaki namuangalia dume zima kujitoa akili
Aaaahhha haswa wife awe anazijua harufuuu utajuta aaa
ha ha ha ha wahotel wanaweka makusudiAaahhhaha kwa kweli bora nitembee na mbuniii hizi bna cjui zipoje basi wanasifa wenye hotel..... wanaziweka mbili
lakn naww mchezo wa gari si umewahi kufanyiwa?
Mbabeeee ww??? Unanikumbusha siku moja nilikuta kondom moja kwenye gari ya mr.. akasema eti akimpa gari best yake ndio amemsahau nikamwambia huko najua sana ulikuwa na demu humu uka do naye
Na yeye wife kazijulia wapi
ha ha ha ha wahotel wanaweka makusudi