Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
ndio naona leo hii kitu kwa mara ya kwanza
we na kaunga niamkieni ile ya kimjinimjini....shkannnn...ndio naona leo hii kitu kwa mara ya kwanza
marhabaaaaaaa misesi aspirin.
marhabaaaaaaa misesi aspirin.
Tulikisoma hiki miaka ya 60. Nadhani humu ndio kuna ile habari ya Bulicheka, Lizabeta na Wagagagigikoko! Kitabu hiki naweza kukipata wapi?
Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2
Tulikisoma hiki miaka ya 60. Nadhani humu ndio kuna ile habari ya Bulicheka, Lizabeta na Wagagagigikoko! Kitabu hiki naweza kukipata wapi?
Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2
Inkoskaz...robinson crusoe si ndo yule alikua msafiri au??! Akakutana sijui na watu wadogooooo then akakutana na ma giant....Mambo matamu ya zamani
Pinokyo
Abunuwasi
robinson Kruso
Alfu Lela ulela
allan quaterman