Wandugu nimepatwa

Huo ugonjwa haukusababishwa na zoezi la uhakiki wa vyeti?
😀😀😀😀
 
Hahahahahahah,wacha nixheke tu maana uchawi enz za jakaya ungekula shavu ila zama za magu duuu akimaliza madini anakuja kwa waganga ila nyie kigwangala atawamalizia tu
 
Mvuke wa maji moto kujivukiza na kujifunika nguo nyingi ili utoke jasho sana halafu maji moto kwa wingi na kula matunda tu
Ukila chakula kiwe ni cha kuchemsha tu na kisiwe chochote chenye damu huku ukiweka simu mbali nawe
Duh! [emoji15] [emoji15]
 
pole mkuu
 
Nimepewa kitanda usiku wa Jana zile tambo ziliwakera nikatumiwa phantom kubwa zaidi
Nimezindukia hospital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…