kijanamtanashati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2014
- 516
- 890
.
Unawezaje kutumia jf kwa kutumia freebasic mtaalam?Https://www.freebasics.com is an obstacle
Ni kwamba huwezi au?Unawezaje kutumia jf kwa kutumia freebasic mtaalam?
App ninayo ila nilikua sijui kama naweza nikaacess jf. shukranNi kwamba huwezi au?
Basi fuata hiyo link,utaona Jamii Forums kwenye menu hiyo.Click hapo.
Kwa urahisi zaidi pakua app ya freebasics.
IPO mkuu ila huwezi kuona videoApp ninayo ila nilikua sijui kama naweza nikaacess jf. shukran
Whasap pia naweza nikaacess kwa free basic?IPO mkuu ila huwezi kuona video
Hapana MkuuWhasap pia naweza nikaacess kwa free basic?