Wandugu naombeni ushauri wenu:

mhh miezi mitatu sio mingi kihiiivyo sio mbaya kama uki step down huta umia sana
ila hiyo mihuri 12 mingi sana ingatakiwa akubanie kama mwaka hiv ndo angeachia

POMO hiyo mihuri kawaida sana hata usishangae sana,ila mimi nimemwambia afanye maamuzi sahihi isije badaye akaja juta kwa maamuzi yake,maana haya ni maisha kwa sababu nilikuwa na malengo naye ya muda mrefu.
 
still unampenda na kumhitaji huyu mwanamke???

anaonyesha hana msimamo katika maamuzi na mapenzi

Msema kweli mpenzi wa mungu mimi bado nampenda,kwa sababu ni binti mzuri,educated,anaheshima,anamawazo ya maendeleo,anajua kufanya budget ya pesa vizuri.kwa hiyo kwa sababu hizo na nyingine ambazo sijazitaja sina sababu ya mtoto wa kiume kumchukia au kutompenda.
 
mmh..3moths,wiki 12,so mihuli 12,1 kwa 1 wiki..achana nae huyo,unapoteza tym mkuu.siku njema.
 
Msema kweli mpenzi wa mungu mimi bado nampenda,kwa sababu ni binti mzuri,educated,anaheshima,anamawazo ya maendeleo,anajua kufanya budget ya pesa vizuri.kwa hiyo kwa sababu hizo na nyingine ambazo sijazitaja sina sababu ya mtoto wa kiume kumchukia au kutompenda.
Msimamo ni kitu cha muhimu zaidi,
Na hicho huyo mtu wako hana
Kwa sifa ulizo taja Wapo wengi wenye sifa hizo kaka,
maisha ni zaidi ya hizo sifa...
Msimamo na kusimamia maamuzi ni kitu cha muhimu
 
mi namshangaa anangangania nini wakati watu tupo wa kumwaga ,eti kisa mwalimu ,kwani hajui kusoma na kuandika anamtegemea aje kumfundisha chumbani? si kuna memkwa bwana?
ha ha haaaa, hajakutana na nesi huyu!
 
Msema kweli mpenzi wa mungu mimi bado nampenda,kwa sababu ni binti mzuri,educated,anaheshima,anamawazo ya maendeleo,anajua kufanya budget ya pesa vizuri.kwa hiyo kwa sababu hizo na nyingine ambazo sijazitaja sina sababu ya mtoto wa kiume kumchukia au kutompenda.

katika vigezo vya mke muhimu zaidi anatakiwa awe mwelewa na mwelevu, mnasikilizana , mnaweza kuongea , lakini suala la upangaji budget na uzuri wa sura ni vya mpito .. mawazo ya maendeleo yanaweza kuwa ya simulizi .. muhimu kuliko yote lazima awe na msimamo na anajua afanyalo asiyeyumbishwa
 
AshaDii; Nakupa siri moja ambayo nimakosa makubwa saana nafanya... but hata hivo kwa kukusaidia.. Sie wanawake hutumia saana mioyo yetu katika maamuzi kama hayo, (hivyo saa ingine hutuchanganya mpaka unapoteza track ni nini kimekuchanganya) ni tofauti na kama uki analyse kwa kutumia vigezo ili upate jibu; Na huyo dada jinsi ninavoona - ni kua hata yeye haelewi ni nini/nani anataka... Kama wampenda na she is worth it naamini kabisa ukigangamaa kiume - Ally hapati kitu hapo; Ukizingatia yupo Mwanza na wewe upo nae dada karibu... Hivo una Great advantage ya kumuweka sawa na abaki na wewe..

AshaDii,
Huoni kuna uwezekano mkubwa hata kama Ally ataachwa kwa sasa wakikutana tena na huyo binti kufunuana nguo kutaendelea kama kawa?. Ningekuwa mimi nisingeendelea maana najuwa ni nafasi tu na umbali ndo unaweka kizibe lakini hawa wawili bado wataendelea kukamatana pindi wakutanapo, BP ya nini? Akiaga anaenda kusalimia nyumbani wewe huku roho inabaki inauma. Mbaya zaidi binti aseme anaenda Mwanza kikazi mara moja..... hapo roho juu, yote hayo yanini?
 
miezi mitatu sio mda wa kusema huyu ni mchumba ni mda mfupi sana huo,ingekuwa mmefahamiana kwa muda walau wa mwaka sawa huo ni mda mfupi sana,umeshagundua hilo unahangaika nn? mke wa anatafutwa kwa miezi mitatu umeona wapi? acha utoto,
 
mi namshangaa anangangania nini wakati watu tupo wa kumwaga ,eti kisa mwalimu ,kwani hajui kusoma na kuandika anamtegemea aje kumfundisha chumbani? si kuna memkwa bwana?

Bebii maneno yako yanachoma sana kisa mwalimu tehee teheheeeeee.
red:kumbe hata wewe upo single?
 
Back
Top Bottom