Wandugu naombeni ushauri wenu:

hao bwana duuuuhh hujui hata usemeje. mana kila mmoja ikibidi aseme maudhi ya mwenzi wake wa kike hapatatosha hapa.
stori: jamaa mmoja alipotelewa na mke wake, akatangaza ktk vyombo vya habari. siku ya pili asubuhi anaamka akakuta vijana kwa wazee kama mia hivi mlangoni kwake wanasubiri atoke. mzee alipigwa na butwaa akawauliza wale wageni kulikoni? kwa wakati mmoja wote wakauliza swali moja linalofanana ie. wewe ndiye uliyepotelewa na mkeo.. mzee akajibu ndiyo akitumai kuwa mke wake ameonekana maeneo. kwa pamoja wale wageni wote mia wakadakiza. "tafadhali njoo uchukue wa kwangu".... hivyo ndivyo habari ilivyokuwa wote wakimaanisha kwamba wamechoshwa na maudhi ya wenzi wao wa kike. Hii inatufundisha kwamba,,, mpenzi wako wa kike anapokutoroka kwa sababu moja ama nyengine unapaswa kushukuru na kuanchana naye coz umeshapunguza mzigo.

Mhhhhh Ze burner unatisha,haya mambo bana tuayaache tu ni kweli kwamba kila mtu akija na matatizo ya mwenzi wake patakuwa hapatoshi kweli.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom