Wanaweza???


Acha udini wewe..........huo ni ukosefu wa fikra na ujinga.........
 
Kaka acha ussumptions hapa. wewe siunawajua walioshinda na walioshindwa ebu tupe list ya mawaziri kwa ufahamu wako

Mak, Mr.

Sina list ya wagombea wote walioshindwa na wenye uwezo wa kuwa mawaziri halisi. My point is, pool ya kuteua ingekuwa kubwa. Na katika wale kumi wa kuteuliwa angeweza kuniweka hapo mimi, sasa si unaona ningepiga kazi vizuri tu (joke)? Au na mimi unanifutilia mbali kama hao hapo juu kamanda?

Siwezi kupinga kwamba mawaziri vivuli wanaweza wasiweze kazi ya uwaziri kamili. Ila tuwapime kwa watakachofanya kama mawaziri vivuli.

Lakini, hao wa CCM miaka nenda rudi ambao wamekuwa sio mawaziri vivuli bali mawaziri halisi wameweza? Najua hawajaweza, kwa hiyo tungalie chanzo cha kushindwa pia.
 
tusiendelee kuwa na fikra mgando. Kuna mfano wa project moja huko India ambako wakulima wa vijijini walibadilishwa na kuadopt kilimo cha kisasa pamoja na mfumo mzuri wa kutunza kumbukumbu na hesabu! Ndipo coordinator wa hiyo project alipo hitimisha kwa kusema kuwa "kumfundisha mtu asiye mwaminifu kutunza pesa ni kumpa njia zaidi za kukuibia". Huoni kuwa hiyo ndiyo tofauti kati ya 'wateule' wa CDM na thi thi emu??
 
bwana mdogo Joseph Kabila (29yrs) aliweza..........
 
bwana mdogo Joseph Kabila (29yrs) aliweza..........

The U.N. Stabilization Mission in the DRC said it was stepping up its presence in the area. At least 8,000 rapes were reported by humanitarian agencies in the DRC in 2010...
 

Evidence!...
 
The U.N. Stabilization Mission in the DRC said it was stepping up its presence in the area. At least 8,000 rapes were reported by humanitarian agencies in the DRC in 2010...

How about unreported rape cases in Tanzania? Kila kiongozi ana changamoto zake. Kwa maana hiyo unataka Nyerere afufuke aje kuongoza nchi? Tunaweza kuiongoza nchi yetu kirahisi tu kama tutawajibika na kuwa waadilifu. Mimi ninaweza kuwa rais, waziri au kiongozi wa ngazi yoyote inayoendana na taaluma yangu katika nchi hii, hali kadhalika wanajf wengine. Kama wewe huwezi, nenda kajitakase.
 
Hilo Baraza lako la ccm linakusaidia nini sasa hivi,mpaka unajadili baraza kivuli la upinzani, mwisho wa siku na baraza lako la ccm ni kilio tu cha maisha yamepanda nk
 



Mr Sugu nae si ungempa wizara ya Tamaduni Habari na Michezo ili aifungie Clouds?
 


Ha ha ha.Jamaa uko right
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…