Wanawaza nini hawa?

Wanawaza nini hawa?

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
ImageUploadedByJamiiForums1438181917.048250.jpg
 
mengi sana.mojawapo ni wanaanzaje kumnadi mgombea wao waliekuwa wanamponda
 
sipati picha el akiwa amevaa gwanda aisee
 
Dah mpiga picha kawapatia kweli.... Afu kama vile walikuwa wanawaza kitu kimoja
 
hapo wanakumbuka mengi sana afu wanajiambia "SHALL WE MAKE IT?HOW WILL WE DEFINE THIS BEFORE THE PIPO OF UMOFIA?
 
Wanawaza jinsi walivyolazimika kula matapishi yao........ama kweli penye udhia penyeza lupia.......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom