Nahisi kuna sababu nyuma ya pazia..Hebu jicheck tabia zako..je haziwakwazi wanawake.?mfano inaweza kuwa wewe mvivu au mchafu au mgegedaji etc.Kama hapo upo fiti inawezekana ni yale mambo ya sex hayaendi vizuri(sifagilii sex before ndoa).Kama uko kote hakuna shida basi jicheki ur spiritual life ..may be una jini mahaba linawivu juu yako