Wanawake wote bongo mna simu mbovu??

Wanawake wote bongo mna simu mbovu??

Wanawake wote???????mbona mim hujanitongoza na niko dar????
 
Wanajamvi naomba nitoe duku duku langu leo kuhusu kina dada ktk suala la simu!!! kila dada ninayetaka kuanza nae mahusiano anamajibu yafuatayo kuhusu simu yake-

1. simu yangu mbovu iko kwa fundi hata kama cku za mwanzo ulikua unamuona na simu.
2. simu hii ninayotumia ni ya mdogo wangu yangu ni mbovu ni kimeo kweli kweli iko kwa fundi ukimwambia nipe nikupekee kwa fundi atakwambai nimehangaika mafundi wameishindwa natafuta nyingine tu ili nimrudishie mdogo wangu hii simu yake!!!
3. Naomba ninunulie smart phone maana natumia kitochi ( hata kama alikua ana simu nzuri uliyokua ukimuona nayo kila cku unaanza kumuona na kitochi ).
4. simu yangu haina watsup ningepata simu nzuri ningekua napiga nakutumia picha kwa watsup ( kana kwamba nili mwambia nataka kutumiwa picha na watsup).
6. hiki kisimu hakikai na chaji kabisa napata tabu sana!!!

na ukiongeza jitihada za kupuuza anaongeza vituko mara mda mwingi anakua hapatikani ikitokea ukimpata atajibu kwa ukali kidogo si nimekwambia simu yangu mbovu!!!

Ni kweli kwamba hakuna mdada mwenye simu nzima???? Please kama kuna dada mwenye simu nzima ni PM nikutoe hata out daaaa!!!!

Wadada wa mjini wameshashtuka, mkishawamega mnakimbia. Anaambulia chips mayai tu, na Reds mbili za baridi. Ndio maana siku hizi wanatanguliza invoice (ankara) mapema kabisa. Akikuomba pesa si utamwona malaya? Na wewe kwa kuwa unamtaka si lazima uwasiliane naye kwenye simu? Na pesa ndefu anayoweza kuvua toka kwako kirahisi ni ya simu mpya...!

Kaka lipa bili hizo upate watoto wazuri, full stop!
 
Inategemea na aina ya wanawake unaowatafuta.
Ikiwezeka tafuta mchumba, oa uachane na hiyo adha coz gharama utakayotumia kwa wanawake 10.....
 
huyo jamaa inaonekana mambo yake hayajakaa sawa. sasa subiri yakikaa sawa atawanunulia wanawake wote wa bongo simu halafu mtatafutana huko kwake. inaonekana ana njaa sana ya mawasiliano na wanawake. hahahaa, Munkari subiri tuu atakununulia soon, wewe onyesha nia tu.

ntamwambia beby nimesahau pochi yangu nyumbani na kunasimu hapa botique samsung galax nimeipendaje!!
 
Haahhahaha sa c tunataka cm nzuri bwana au?? Khaaaaa we mwenio anunue we uje uunge tu kuanza kuwasiliana nunua yako ya mawasiliano

Sasa atakua n cmu ngapi mana kwa mwaka mabwana 10 kila amtongozae atasema cmu yng mbovu dadadeki,wanaume tuna kazi nzito ndio mana wengne wanaishia kua matapeli cz y kinadada

Huyo n wakumkopa 2 penz mwisho w cmu nampa cheki hewa akanunue cmu yke n ndio byebye yke
 
Ndo kusaidiana huko,we si unataka nanilihuu nawe mpatie hicho kifanyio cha wozap
 
Ndiyo yale yale ya TONNY TOUCH!!!! MAMBO VIPI BU BUUUU!!

Yaani ni wizi mtupu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom