Wanawake wote bongo mna simu mbovu??

Wanawake wote bongo mna simu mbovu??

Hiyo namba 4 nimechekaaa sana....mizinga ndio habar ya mujini

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Uzinzi haufai dawa ya wazinzi ni hiyo tu,kupigwa mizinga mpaka ufilisike tu,
 
Sasa una subiri kuambiwa kuwa upendwi?
 
Dawa ni hii
Tafuta smart phone moja kali kila siku unaiweka ktk box lake
Akikuomba cm unamuomba chiu akikupa na na simu humpi unampa elfu ishirini akanunue, so mchezo unakua ndo huo
Bro bongo mbona cmpo lyf
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom