Wanawake Weusi wana sifa nzuri sana

Wanawake Weusi wana sifa nzuri sana

Raha inazidi mwanamke mweusi kama emyta aolewe na mwanamme mweupe kama mimi.. Ha ha ha ha ha
 
Wanajamvii habari za weekend, nitakuwa nadhulumu nafsi nisipowapa sifa wanawake wote weusi kwa kuwa wananivutia sana huwa nahisi ni kutokana na mimi nilivyo ila....
Kwa wachache niliokutana nao walikuwa waaminifu, wakweli, wakipenda wanapenda kweli, washauri wazuri, hawajiskii, hawana tamaa, waelewa, hupenda kukupa lift unapokwama, wivu unaotakiwa, waelewa, wanasubira pia.n.k.

May God bless all black women..
6e7fff245266d3b99689c0d15df13c85.jpg
 
Mmenikumbusha mdada mmoja humu alijiita Cheusi Mangala alikuwa maarufu sana humu. Sijui alipotelea wapi au aliamua kubadili ID.
 
Back
Top Bottom