Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,261
- 72,431
Nahisi kuna kaukweli fulani hivi ndani yake
Mambo si ndio haya sasa.Wana K Matata Sana, trust me,
Hawajivuni, wanajua kupenda japo wengi huishia kuumizwa,
Wengi ukiwaona haraka haraka hauwezi gundua ubora wao, ishu nao uone
[emoji126] [emoji126] [emoji126]Hapa mie hadi na usebule nimechukua.
Nasikiaga sikiaga watu wazima wakinena kumbe kweli s[emoji15] [emoji15]Hahaha mkuu ipo ila ngoja nseme kikubwa huwa wanajoto wana asili ya asali [emoji13][emoji13][emoji13]
Tulisha kaa nao tunamaanisha tunachosema,wanawake wng weupe huanza Kusifiwa uzuri tokea utoto hii hufanya waanze kujivuna na kutumia maalum sana tabia ambazo huwafanya wawawe kupendwa na si kupenda,Rangi na sifa ulizotoa hapo mi cdhan kama rangi ya mtu inaendana na sifa hizo..!!! Hizo ulzotaja hapo ni tabia na tabia cku zote huwa ipo ndan huez kuiona mpaka ukae nae kwa muda ndo utajua tabia yake
HahahaSubiri uzi wa weupe tafadhali, usituharibie usiku.
Kabisa kaka, kuna kitu muumba kaweka ndani yaoNahisi kuna kaukweli fulani hivi ndani yake
We kiwi nini?Subiri uzi wa weupe tafadhali, usituharibie usiku.
Weusi tatizo lenu kule chini panakuwa kama pamepigwa bomuSubiri uzi wa weupe tafadhali, usituharibie usiku.
Hata kiwi ina uafadhali.We kiwi nini?
Ila mara nyingi wanakuaga na tuchura tudogodogo sana but kiukweli black is beauty!
Hakika upo sawa..Hahaha mkuu ipo ila ngoja nseme kikubwa huwa wanajoto wana asili ya asali [emoji13][emoji13][emoji13]
Kwahiyo ulikuwa unasemaje baada ya hayo maelezo?!
Umetumwa?Weusi tatizo lenu kule chini panakuwa kama pamepigwa bomu
Masizi au?Hata kiwi ina uafadhali.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Tu dogo dogo tena?!, mbona umeongea opposite wakati huo ndo utamaduni wetu..
Haha, lazima kuna la zaidi...lol