Wanawake Weusi wana sifa nzuri sana

Wanawake Weusi wana sifa nzuri sana

m̸e̸ n̸a̸c̸h̸o̸w̸a̸p̸e̸n̸d̸e̸a̸ h̸a̸w̸a̸n̸a̸ b̸a̸j̸e̸t̸i̸ k̸u̸b̸w̸a̸
 
Mashaalah...huwa sihemi kbsa nikikutana na sura kama hizi, pumzi inakata kbs! Nabakia kumwangalia tu, hata kama kuna watu sijali'
Hatamimi mkuu napenda Sana rangii hyoo Nyeusi yani nikimuona binti black akili yang hurukaa
 
Hahahah!, aymatu unaanza kunitania sasa...lol!

Hakuna bwana ma black beauty wako wengi humu. Asante lakini. 🙂
Unajua kwanza ww ni malikia wa nguvu
Umeweka avater ya blackcute wakat wenzio wanaogopa hii imenipa picha how beutfl you are
Tutayajenga [emoji115][emoji115][emoji115]
 
Unajua kwanza ww ni malikia wa nguvu
Umeweka avater ya blackcute wakat wenzio wanaogopa hii imenipa picha how beutfl you are
Tutayajenga [emoji115][emoji115][emoji115]

Aawwwwww!, Shukran kwa compliment! [emoji120]

[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Aawwwwww!, Shukran kwa compliment! [emoji120]

[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
[emoji13][emoji8][emoji8] natafuta jina pekee la kukuita lisiloitwa hapo awal ktk sayar hii yenye mawingu mdaa
 
[emoji8][emoji8] shem maana upole na ukarimu ulio nao basi hata wasiokuona watizame kwa hisia tu watajua ww umefundika shem
Hahaha shem usinipambe san si unajua watu wenyewe shem
 
Unakuta kademu keupe kadogo alaf wigi mpaka kwenye kisigino Eti ni mkorea [emoji41][emoji41] Black beauty Aaa ananyoa tu kama Jay z
 
Back
Top Bottom