Ukweli ni kwamba hata watu wasemeje lakini wanawake weusi hudumu na kutii kwenye ndoa na ni wanawake wazuri usioweza kuwakinai mapema.wanawake weupe ni majaribu sana kwenye ndoa nyingi na mahusiano ya kawaida.na binafsi nina mifano mingi sana ya kuvunjika kwa ndoa/mahusiano ya wanawake weupe,tena kwa sababu za kijinga kijinga tu.imenitokea mala 6 ktk maisha yangu na nimeona kwa marafiki na majrani zaidi ya mala 10.lakini binafsi nilipojaribu kwa blackbeauty...ninateleza raha mustarehe mpaka leo.Wanajamvii habari za weekend, nitakuwa nadhulumu nafsi nisipowapa sifa wanawake wote weusi kwa kuwa wananivutia sana huwa nahisi ni kutokana na mimi nilivyo ila....
Kwa wachache niliokutana nao walikuwa waaminifu, wakweli, wakipenda wanapenda kweli, washauri wazuri, hawajiskii, hawana tamaa, waelewa, hupenda kukupa lift unapokwama, wivu unaotakiwa, waelewa, wanasubira pia.n.k.
May God bless all black women..
Ahsante zimefika.
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Nawapenda sana hawa wanawake........?
Ahsante sana. [emoji2] [emoji2]Black Beauty!? Hongera na tunzo hiyo ngozi ya chokorate.
Lait ungejua wao wenyewe tu hawapendi rangi yao kwasababu ya tabia zao,,,sasa wewe hizo sifa sijui umeziona vipi...Wanajamvii habari za weekend, nitakuwa nadhulumu nafsi nisipowapa sifa wanawake wote weusi kwa kuwa wananivutia sana huwa nahisi ni kutokana na mimi nilivyo ila....
Kwa wachache niliokutana nao walikuwa waaminifu, wakweli, wakipenda wanapenda kweli, washauri wazuri, hawajiskii, hawana tamaa, waelewa, hupenda kukupa lift unapokwama, wivu unaotakiwa, waelewa, wanasubira pia.n.k.
May God bless all black women..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kutuonea bhanaaaAlafu kuna jambo nimegundua Leo kuwa wanaochangia mada hii katika wanawake,wote ni wakina cheusi mangala.