Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,042
- 126,057
Usijali mwaya hata mara moja moja kama hivi sio mbaya.Nipo mamy... Majukumu tu ndo yananikimbiza
Uwe na siku njema
Usijali mwaya hata mara moja moja kama hivi sio mbaya.Nipo mamy... Majukumu tu ndo yananikimbiza
Huyo huyo wako bwana ndio alikuwa mshirikina.KWA USHIRIKINA HAOOOOOO......
Kwenye chakula UNAKUTANA NAZO; Kwenye maji ya kuoga ZIMO; Kwenye chai na juisi NDIO USISEME; Maji ya kufulia nguo KWAO.....
ILA SIO WOTE..
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ntafanyaje sasa maana wewe kwq weupe utakuwepo tu.
X wako toka lin[emoji83]Hebu acha figisu my ex, we tupe sifa tu, hayo mengine siku nyingine.
Ngoja nirudi field naona nmeleta null hypothesisKwa mimi hapana..
Nimegundua weusi wengi wanajiheshimu saana. [emoji125] [emoji125]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kote tupo, kasoro kwenye kuchinja viuno tu teh
Si unazo zote ndio maana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Imebidi ujumuishe sifa zote.
Toka uliponitelekeza.X wako toka lin[emoji83]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Yaani sifa zote hizo wachukue wao tuu, hata mie mweusi nimeamua kubadili gia angani
Rudi kabisa.Ngoja nirudi field naona nmeleta null hypothesis
Aaah kabisa, kotekote nipo.Si unazo zote ndio maana
Apooo chacha usirudi nyuma ex wangu umo umoHivi kwa sifa hizi unaachaje kuwa mweusi.
Na wewe piaUsijali mwaya hata mara moja moja kama hivi sio mbaya.
Uwe na siku njema
Aiseee......... Ex wako huyu? HongeraApooo chacha usirudi nyuma ex wangu umo umo
Ndo ushangae sasaSasa unaachaje kuwa mweusi.
Unapoteza sifa ya weus kwa kusema uongo[emoji36]Toka uliponitelekeza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimekuja na[emoji182]Afadhali umejileta eeeh umekuja na nini?
Hewaaala... hilo lilete pm kabisa hapa linaweza kupokelewa na mabaradhuli wasio na haya.