Wanawake Weusi wana sifa nzuri sana

Hata hao unaowaona weupe ni mikorogo tu bali wote ni weusi..!!
 
Kiukweli mbavu toa ndiyo maana nimepiga kambi hapa.

msiishie kupewa sifa tu na sisi tuangalieni sasa tunaowapa sifa mtufikirie.
Ndoma unaogopwaaaaa ha ha haaa

Hukawiii kujitangulizia [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Ni kwasabb hawana soko sasa ukiwatokea wanaona ni bahati ya mtende wanaganda na kujinyenyekeza. Dada ana rangi yake ya mng'ao na shape ya haja unataka akutetemekee wewe nani? Unashuka wanapanda watatu, sita wanagombania kuingia.
 
Haya, nenda kwa wajaluo, huko ndio kuna "weusi family"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…