afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,145
- 9,215
Jibu hili limekaa ki white white..
Ndivyo nlivyotaka ufikirie..
Pole si sawa..
Jibu hili limekaa ki white white..
some truth
but wana weakness na wanaume weusi
halafu wanawake weupe wanakuwaga less bright ukilinganisha na weusi
Mh..ngoja nikamwulize jamaa yangu.
Au kama unazo tuwekee hapa..
Ndivyo nlivyotaka ufikirie..
Pole si sawa..
Nimeipenda hii mkuu.
Hapo red: Yawezekana inatokana na wao kujiamini sana hasa kwa hiyo credit ya rangi ambayo automatically inachange kuwa weakness badala ya strenght.

sio wote wanaojiona kwani weupe kitu gani,mie naona sawa mweupe mweusi sawa2 sema kuna wale wanaume wenye kasumba ya wanawake weupe

tena anasema mie mwanamke mweusi simtaki kabisi yeye ukimuona mweusi kama lamii,sasa anapota mwanamke mweupe ndio aaaaaaaaaaaaah...

mtatafuta pakuweka roho zenu kuna watu wakutoka sehemu flani ndio wanakasumba ya wanawake weupe.
Uongo huooo.
kwa kutongozwa sana
mwiso wanaamini kuwa hawahitaji kujisumbua sana kuhusu maisha
wanaona maisha ni mtelezo,so hawajihangaishi kwa lolote kw saana
most of times ukikuta mwanamke ana biashara zake mwenyewe
au kasoma sana mpaka phd na kadhalika utakuta weusi au brown hivi
few ni weupe
kuna msemo unasema
mbega huponzwa na uzuri wake....
ina apply kwa wanawake weupe na wazuri
kwa kutongozwa sana
mwiso wanaamini kuwa hawahitaji kujisumbua sana kuhusu maisha
wanaona maisha ni mtelezo,so hawajihangaishi kwa lolote kw saana
most of times ukikuta mwanamke ana biashara zake mwenyewe
au kasoma sana mpaka phd na kadhalika utakuta weusi au brown hivi
few ni weupe

Mkeshaji mwarabu gani mke wa mtu anaweza spend time yoote hii online??

Hii avatar tu rafiki... niko opposite kabisa katika kila aspect ya hio avatar....lol

kumbe ashadii uko single?
kuna msemo unasema
mbega huponzwa na uzuri wake....
ina apply kwa wanawake weupe na wazuri
Mkeshaji mbona unajipendelea bana
Kaka tutake radhi
Ahsante
TB nimekumbuka mbali sana huu msemo

Sasa nisingefikiria hivyo AD, ulichokifikiria si kingekuwa wrong..lol!
nimesema very few ni weupe
labda wewe ni among the very few..
but wewe si mweupe wa aina hii
nahisi wewe ni mweupe wa kuchanganya damu,uwongo?