Hizo tafiti ni ujinga kabisa, kumbuka wadada kwenye matako makubwa ulisoma nao walivyokuwa bogus. Hata mitaani hata uko ofini jaribu kukumbuka.
Wewe oa mwanamke roho inataka imagine wewe kama baba ni bogus unadhani mtoto akili atatoa WAP??
N.b siwasemi wenye matako makubwa kwakuwa Nina wivu, Nina kiumbo changu kizuri guu la bia,kono la maana loh msituchoshe loh[emoji23]