BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,329
Inategemea NTU na NTU. Acha kabisa kuingilia kazi ya Mwenyezi Mungu.
Sio wote.
Wengi wao wanajiona wazuri kama nini wakati kiukweli wengi wao hamna kitu ni hicho kirangi cha weupe ndo kinawabeba.
Mnajua mnaboa nyie watu!?