Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,228
- 40,720
Ngoja niwe msoma comments tu hapa
haha pic nilizo nazo zote ipo kwenye motion. kuipiga hivi hivi bila sababu hairuhusiwi😎😎Hahaha sijazijua mpaka sasa ebu fanya kunionyesha
Ooh kumbe ndio hizi Sakayo ukuje uone big toyshaha pic nilizo nazo zote ipo kwenye motion. kuipiga hivi hivi bila sababu hairuhusiwi😎😎
View attachment 1139977
sure wananuka sana na k...hili nimeprove mademu wote weupê wananuka kSio wote.
Wengi wao wanajiona wazuri kama nini wakati kiukweli wengi wao hamna kitu ni hicho kirangi cha weupe ndo kinawabeba.
Mnajua mnaboa nyie watu!?
Ooh kumbe ndio hizi Sakayo ukuje uone big toys
We shunie unakataa ranging yako ,Cheusi mangala tunaruhusiwa kucomment humu
Ni wivu tu
Kwani tumekufanya nini? Usitunyanyapae
Cheusi mangala tunaruhusiwa kucomment humu
Kaka ake me nipo ila mambo yalikuwa mengi nikapotea potea kidogoDuh dadake! !Sitaki kuamini ndio tumetengana namna hii
Kaka ake me nipo ila mambo yalikuwa mengi nikapotea potea kidogo
Uko poa lakini kaka wa mimi?
Nafurahi kusikia uko poa kakaMimi niko poa tu aisee!!Hofu ilikuwa kwako tu! !
Usirudie kumsusa kaka ako kiasi hiki siku nyingine!!
Nafurahi kusikia uko poa kaka
Mimi pia sijambo kabisa
Hahahhahah kaka ake sitarudia tena...nitakuwa nakuja kuja humu...ila na wewe uwe unakuja