Wanawake wenzangu mjifunze tofauti ya kupenda na kutamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake wenzangu mjifunze tofauti ya kupenda na kutamani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Natalia, Oct 17, 2012.

 1. N

  Natalia JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mimi mume wangu mzungu yaani watu kwenye Facebook simu na email wananiambia niwatafutie wazungu .hiyo ni tamaa .mzungu anahitaji mwanamke extremely understanding na anayempenda.hakuna kufake Kama mnavyofanya .love is a gift you can honestly give your partner ukitamani bila kupenda utaachwa.
   
 2. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Natalia bwana hebu usiwabanie wenzio bana alokwambia wao sio extremely understanding na wanapenda ni nani? We kama unaweza waunganishie madili, wakishindwa ni wao wenyewe. LOL.

  Hivi mapenzi ya siku hizi yamekuwaje jamani?
   
 3. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,724
  Trophy Points: 280
  Kwani utajuaje kuwa huyu ananipenda ...huyu ananitamani

  Indicators gani zitakufanya ugundue tofauti?

  Maana haya mambo ni ya moyoni zaidi; na ni ya kiimani.

  Inaweza kuwa rahisi kama anayekutamani atakuwa muwazi kwa kutumia maneno yake mwenyewe; mfano kusema 'nataka just one night stand' au tupast time ukipata mtu nakuruhusu uendelee..

  Tatizo linakuja kwa asiye kiri kwa mdomo wake; ambao ni wengi; au anayekwambia nakupenda...utajuaje kama ni kweli au anakudanganya?

   
 4. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Kutamani ni sehemu ya kupenda; sielewi kumpenda mtu bila kutamani kuwa naye!

  Hiyo ya wazungu, l am not interested.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Ngoja Wake wa wazungu waje.....
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  be warned!

  Usijidai una mzungu kumbe ni wale mateja walokuja huku kwa 'recreation programs'

  mtu ana matatoo kama wa maua maua.

  Afu mipipi yao ya baridi kama umeingiliwa nyoka, i like them when served hot.

  Afu kitu pinkkkkkkkkk
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Mie niko extremely understanding na najua kuoenda. Hebu nitafutie mzungu basi jamani.
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  una habari mateka ni mzungu??

   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  kumbe waswahili ndo hatuhitaji muwe 'extremely understanding'?
   
 10. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  kongosho wewe unapenda mapigo gani kwani ?
   
 11. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Natalia is back with a new syle,, wrong live natalia.. To be honest I real miss you during the torment.. Hoping you will drops more amazing threads as you done before....
   
 12. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #12
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ndio hapo sasa kwangu hili ni jipya mwe na ushamba wangu huu!!
  Natalia leo kanichooosha kanishoosha dadangu!
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  kwani wee umeonaje??

  Napenda mapigo ya Misri, unayajua??

   
 14. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Kwani wewe huyo mzungu hukumtamani? Si ulimtamani ndipo ukampenda kutokana na alivyo navyo.
   
 15. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Ah mimi tena, hongera lakini..
   
 16. N

  Natalia JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mungu amenipa mume .kama bible inavyosema .je nyie
   
 17. N

  Natalia JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  If I see god today I will say "thank god for giving me a husband who loves me like the way god love the church " what about you kongosho what will you say
   
 18. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #18
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hahahaha Kongosho kumbe wadhungu pipi zao baridi?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #19
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Natalia usiwabanie wenzio watafutie wazungu bana, mambo ya love baadaye.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  nitasema ' asante Mungu kwa kunipa afya ya akili'

  akili ikiugua kila litokalo kinywani ni mauza uza.

   
Loading...