Wanawake wenzangu mjifunze tofauti ya kupenda na kutamani

he he he, mushipa yote damu unai-hesabu from a mile away.

Sasa imagine kitu kikikasirika, mishipa yote nje

Ngoja niondoke hapa, nisije nikatupiwa mawe bure.

hahahaha Kongosho kumbe wadhungu pipi zao baridi?
 
Last edited by a moderator:
KUPENDWA IS OVER RATED!!!! Hakuna mtu anempenda mtu bila sababu, ikiwepo CASH( Thats me baby), SHAPE, SURA, TABIA, ETC. So kupendwa kokote kunaanza na kutamani certain xtics za mtu! Hilo la wazungu mbona wengi tu level 8, mediteraneo, mahaba, kipepeo, casino ndo usiseme! Itakuwa hawawavutii tu wazungu, ndo maana hawawapati.

MOYO WA MTU NI KIZA KINENE!!!! Hata waliooana wachache sana wamependana for true love, wengi wame settle tu! Mtu umri umesonga, unampenda cielo wkt mtoto 10 over 10, mzee wa i phone 5, katika rank ya ciello wewe labda wa 52 hivi, ila ndo umempenda, huku bibie kidawa ofisini 5 over 10, anakuheshimu, anakupenda, anakujali baaaaaaaaaasssssssss UNAMUOA KIDAWA mnazaa, maisha yanasonga. Ukimuona Cielo unameza mate. Kidawa hapo anaamini ANAPENDWA kupita mipaka kumbe moyo wa mtu kiza kinene.
 
Last edited by a moderator:
shosti lara 1 umemaliza bhaas, ila name yangu ina double l i.e ciello
 
Last edited by a moderator:
Ukishaona mtu anazama sana kwenye unqualified prejudices za "mzungu hivi" "muafrika hivi" ujue upeo mdogo.
 
aiiiiii kumbe inawahusu wazungu acha nikamkumbatie mbantu wangu mie......wazungu hawana mvuto kwangu
 
There are currently 20 users browsing this thread. (8 members and 12 guests)



bibie No 4.....ingia jukwaani tafadhali.........

preta,hahaha..i was bythe window chunguliaring.. izi porojo za noa apana penda kabisa..kwanza ao 'wadungu' walichukua magold wakawaletea gololi za kuchezea, noa wa ajabu kweli,af nasikia wanaPASI MARINDA,no Mikunjo kbsaa..kote kote..teh binafsi siwatamani.. Pia KILA ALIYEPENDWA ALITAMANIWA KWANZA, TUSIDANGANYANE..na mashauzi ya fb n blogs,
 
yaani wewe una bifu la enzi za wakoloni??

He he he, hawapasi bana.

preta,hahaha..i was bythe window chunguliaring.. izi porojo za noa apana penda kabisa..kwanza ao 'wadungu' walichukua magold wakawaletea gololi za kuchezea, noa wa ajabu kweli,af nasikia wanaPASI MARINDA,no Mikunjo kbsaa..kote kote..teh binafsi siwatamani.. Pia KILA ALIYEPENDWA ALITAMANIWA KWANZA, TUSIDANGANYANE..na mashauzi ya fb n blogs,
 
duh!! hapa hapakufai muke ya mkuryaaa. wacha nikaandae togwa na kichuri mkurya yupo njiani asjenikuta kwa wadhungu.
 
Back
Top Bottom