Wanawake wenzangu kujeni tutete kidogo!

Hahahaaa!!
Nina sababu zangu baba.
Good morning.
We endeleza tu urafiki bhana huku ukiendelea na msimamo wako huo huo..Hiko siku ataheshimu msimamo wako na kugive up..Then mnajikita kwenye maendeleo..

Good morning..Kumbe mtu akikuzoea sana unaanza kumpotezea..Naanza kupata picha
 
Huyu sichelei kumwita wife material, wanawake wengi ni wapingaji kwanza, then ukikomaa na wazo lako likazaa matunda, anakuambia hivi kumbe wazo lako ni zuri, mwingine anapotezea tu kwa aibu.
 
Ukiona mtu kampotezea mtu ujue kuna sababu, why asipotezee wengine?
 
Huyu sichelei kumwita wife material, wanawake wengi ni wapingaji kwanza, then ukikomaa na wazo lako likazaa matunda, anakuambia hivi kumbe wazo lako ni zuri, mwingine anapotezea tu kwa aibu.
Mmoja kasema yeye wake anapinga ila mafanikio yakionekana basi anageuka kuwa mkaguzi na muhasibu.
 
We endeleza tu urafiki bhana huku ukiendelea na msimamo wako huo huo..Hiko siku ataheshimu msimamo wako na kugive up..Then mnajikita kwenye maendeleo..

Good morning..Kumbe mtu akikuzoea sana unaanza kumpotezea..Naanza kupata picha
Jirani mbona kama nimekumiss vile
 
Hilo suala la mambo kuja katikati lipo pande zote, ila ndio ubinadamu huo hatujakamilika. Hivyo inapaswa tu busara kutumika na kutatua changamoto zinazojitokeza. Lasivyo ndio vile tena!!
Hapo ndipo nilpofeli kwenye kutumia busara...Mi busara yangu kubwa kupiga chini tu,naleta mwingine! Sina muda wa kurekebisha mtu aliyebalehe mimi.
 
Mimi huwa najiamini sana na mawazo na fikra zangu.

Huwa nipo vizuri sana katika kuweka mipango na kufanya maamuzi.

Sijawahi kabisa kuhitaji msaada wa kimawazo toka kwa mwanamke.
Mhmhmhmhmh yaani unaroho ngumu

Na mara nyingi aina yako hawafanikiwi
 
POINT TUPU.

WANAWAKE TULIO NAO MNATUJENGA AU MNATUBOMOA.

UNAWEZA KUJA NA WAZO ZURI TU, MTU KWAKUA YEYE HAAMINI BASI ANAKUKATISHA TAMAA KICHIZI.

NDIO HAPO SASA UNAKUTA MIMI NA KIJIELIMU CHANGU HIKI NASHARE MAWAZO YA PROJECT NA BAAMEDI NA WANAKUPA AKILI NZURI TU KULIKO MKEO.
 
Back
Top Bottom