sam2000
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 567
- 403
Lini mwanamke akawaza kama kuna future katika relationship?
ninyi mkishaambiwa '' i love you '' , basi inakuwa ndo basi, uhoji kwani uko peke yako? marriage is a fate nowadays!
wa kukuoa huwezi jua anatokea wapi! unaweza kuwa dar lakini husband akawa yuko sumbawanga hata hamjuani!
at the end, mkaja kukutana in just a coincidence... then marriage without time wastage!
Gravitation, remember!-- has nothing to do with falling in love!
Kula like mkuu, and this is the downfall ya wengi sana! Yani wanona ndoa kwa kila mtu ambaye anasema I love you!