wanawake wenyewe wanakiri hivyo

wanawake wenyewe wanakiri hivyo

Ukiwa huna hela kila kitu unaona unaonewa.
Umeangaliwa kwa dharau
umejibiwa kwa dharau
mtu akichelewa appointment umedharauliwa
yaani taabu juu ya shida.

Ila kujiamini na kujikubali ndo mpango wote wa ndani na wa nje

Thanx a lot, and have trust on what your doing
 
Husninyo wengne hawajui hata taste zao, ye mweupe, mweusi, mwekundu, mref/mfupi hajali, tabia nzuri au mbaya hajui...full kipofu.
 
Last edited by a moderator:
Tuache kutoa mapovu. Tujadili mambo hapa. Ishu si kufakamia wanawake wazuri wala kuonyesha ufahari wa kuwapata bali ni kwa vipi hao wazuri wanatumia silaha hiyo kama fimbo
mkuu simply maana yake ,kuna wanawake hata Psycholojia yao hawajaumbwa KUOLEWA wao ni watu wakutoa tu PARTY TIME ukijitusu unataka kuoa hakukatalii anajenga CV after 6 months huyoooooooo kama kawaida anayeyuka so inakula kwako boy!!
 
Kuna msemo huu Never compete with animal you don't knw about, investigate first!! Ndivo ilivo kwa wanawake hasa wale wazuri ambao vidume wengi wanaota kuwapata! Na kwakua wao wanajua ni bidhaa adimu basi hujua class Yao ipi!! Jiamini na kuna vitu vidogo vidogo unatakiwa uvijue kabla! Baada ya hapo Ndio ule msemo "usiogope ukubwa wa samaki uliza bei" vinginevo utaishia kulalamika au kua na mtu ambae huridhiki nae!

umenena mkuu!
 
hivi mwanaume handsome yukoje ?

unajua mimi haya mambo ya kuaangalia sura za watu huwa sinaga utaalamu nao

kwangu mimi mwanaume handsome ni yule mwenye Wallet inayovutia.

mh! Namimi hapo umeniachaa! Wallet inayovutia kivipi? Yani yenye rangi nzuri,material yako amaaa??
 
hapo kwenye red sikubaliana na wewe.

eti wanawake wazuri ni bidhaa adimu, ah wapi mbona wamejaa kila kona tu

tena siku hizi watoto wanazaliwa wazuriiiiiiii hadi basi, hamnaga bidhaa adimu siku hizi
Aisee nakubaliana nawewe,siku izi wanawake wazuri wapo kila kona,yan wala c bidhaa adimu hata kidogo...
 
Husninyo wengne hawajui hata taste zao, ye mweupe, mweusi, mwekundu, mref/mfupi hajali, tabia nzuri au mbaya hajui...full kipofu.
Dah mwanaume wa hv kiboko cmtak hata bure,hashndwi kumpa mimba hata chizi barabaran
 
Last edited by a moderator:
bora hata wewe una choice, kuna mwanaume mwingine yeye rangi yoyote, umbo lolote, yaani kwake yeye haijalishi ili mradi tu una kipochi manyoya.

kwani tatizo likowapi mtu akipenda kila design? au unaogopa?
 
Dah mwanaume wa hv kiboko cmtak hata bure,hashndwi kumpa mimba hata chizi barabaran

umeona eeeh! wale machizi huwa wanazalishwa na wanaume wenye akili zao.
 
ukiona mwanaume anakaa kujadili mambo ya wadada, sio anaupungufu wa wanawake bali ana kapepo ka uwasherati kanamfatilia
 
hahahaaaaaaaaaaaaa! Kuna wanaume na migumegume!!!!!!!! Migume gume kwa kelele na kuongea ongea sanaaa! Weeeeee! Haina mpinzani! Kutwa kucha kuanzisha theory za kujipa moyo!

Mwanaume wa ukweli huwezi kuwa busy una discuss wadada sijui wamefanya nini, wa aina gani! Hio inadhihirisha una upungufu wa wanawake maishani mwako!!!!!!!!!

Wanaume wa ukweli they are busy knocking out hot girls, romancing, having the time of their life, living the real shit! They are more into finding out and getting into the piece of action not just talking talking and more talking making and reviewing theories about them women whom you have never tasted!!!!!!!!!!

wewe ni mmojawapo wa wanawake wasumbufu na wasiojua maana ya mapenzi,.yaani wewe ni mwanamke onja onja na mwisho unaishia kuwekwa kimada na vizee,!!!!!!badilika usiwe kama jike la mbuzi anayeweza kupandwa hata na beberu ambaye ni baba yake!!!!!na sio ajabu wewe ndio wale wanaowakalia kaka zao mapajani yaani wanapakatwa halafu wanajifanya uzungu,uzungu gani!???ni ujinga plus plus
 
Siamini katika hoja yako mkuu. Aliyesema hawana dhiki ya wanaume ni nani? Kuna ignorance fulani katika mawazo ya yule anayeamini kuwa uzuri wake ni ulimbo au silaha. Ikitokea akadhurika bado atakuwa hana dhiki?
akidhurika, hapo sio mzuri tena. The most beatifil in the (community)katika jamii fulani ya watu mfano chuoni, shuleni, katika taasisi kwa kweli mara nyingi kama hujazoa pressure yani wewe mlokole mlokole mechi huwezi. hawaringi kwa sababu wamezariwa na maringo ila jamii hiyo inawapa kichwa. hasa kama ameolewa na mwenye pesa zake, katulizwa moyo ni balaa. Cha pekee zaidi ni pesa zinazo washindanisha wanaume haijalishi unampa ngapi hata maisha yako yanaashiri walau na ww ni wa class fulan. acheni habari za vijiweni, twende katika uhalisia , to battle for beutiful is common although is challenging
 
Mapenzi haya kilasiku watu hawaelewi..baibe yoyote mzuri anaolewa tu ujue kazi (hayo mapenzi yenyewe) na uwe ni mtu mwenye future kimaisha..mim ntaoa mzuri sio wa kawaida.sitaoa nisie mpenda kisa hofu..
 
Back
Top Bottom