Kuna msemo huu Never compete with animal you don't knw about, investigate first!! Ndivo ilivo kwa wanawake hasa wale wazuri ambao vidume wengi wanaota kuwapata! Na kwakua wao wanajua ni bidhaa adimu basi hujua class Yao ipi!! Jiamini na kuna vitu vidogo vidogo unatakiwa uvijue kabla! Baada ya hapo Ndio ule msemo "usiogope ukubwa wa samaki uliza bei" vinginevo utaishia kulalamika au kua na mtu ambae huridhiki nae!
hivi wanawake wazuri ndo wepi hao? maana mbona wengi ambao wapo desperate ndo hao wazuri( per my eyes)
mimi nawajua wanawake ambao ni very kawaida hapa ofisini kwangu lakini ndo wanaogombaniwa na maboss wa juu.
Kila siku hoja ni wanawake "wazuri" wanaringa lakini mbona bado na wenyewe wanaumizwa na kuibiwa waume na wanawake wa kawaida?
beauty beauty beauty hata sielewi mnachobishania ni nini hasa?