Bar, Machimboni kama vile msasa, chunya mwime morogoro wale wahudumu wa bia machimboni, pia kwenye saloon za kisasa barbershop wapo, Night club pia wapo,
Maranyingi ni weupe warembo haswa changamoto wamerogewa pesa pia ni watumiaji wazuri wa dawa za mvuto hawa ndio wanaotuweka mjini sisi wazee wa viringe
Nakutakia kila lakheri ktk kuwatafuta.