Wanawake wenye shukrani

Wanawake wenye shukrani

indelible

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
652
Reaction score
301
Naamini mko poa,

Naomba nieleze kisa hiki ili kushibisha hoja yangu.Hakuna kitu kizuri kama juhudi au wema wako kuonekana,kukubaliwa na kuthaminiwa. Katika pita pita zangu za ulaji wa nyama mbichi (nimetumiatafsida) kwa kweli nimekula nyingi sana kabla sijaamua kuziacha.

Nilikuwa nacheza na za kishua yaani nyama imeenda shulebalaa. Tatizo la hizi nyama ni moja tu hazioni thamani ya kile unacho wezakukifanya kwao na kukipa thamani yake endapo tu siku moja utashindwa kutimizamaombi yao.Kuna ambazo nilikuwa radhi nisibaki na kitu mfukoni ilimradi kukiziridhisha.

lakini bwana wee ukikwama kidogo ni shida, mema yote yanatupwakapuni, kuna ambao hata mawasiliano yalikuwa yakuanza kubembelezana eti tu kwasababu nimeshindwa kumpa senti ndani ya siku alizokuwa anahitaji nazo. Hali hiiilinikwaza nikawa sina cha kufanya mpaka nilipo kata shauli.


Katika pita pita zangu hizo nikaamua kuanza kula za lowclass, hizi jamani hupati hata presha zinashukrani hizo balaa, yaaniukimtwangwa kilo wallah utalowanishwa kwa dua za heri kila kukicha.Utachinjiwa mpaka kuku, utapewa mahabati. Hizi sifa yake nyingine hazina michepuko mnyororo.

Kwamba weukiwa huna kitu eti zitakukimbia wapi hizi zinakupa moyo na hazina mizinga yakijinga. Haziombi magari wala vacation zinataka uwepo wako kwa muda wakoujipakulie mpaka utosheke. Kama hujajaribu anza leo…we anza hata na wale wanaotembea kilometa nyingi na masinia yao kichwani utaniambia.


Lete uzoefu wako, tusikie

Kwa sasa nimeokoka naabudu kanisa la TBL
 
Bro, uliruka na business class ila umeongea kama ni PJ vile, sasa umerudi econony class unajifariji.
 
Hizo nyama za stlye hiyo za lowclass zitakufanya ufe masikini... Raha ya maisha changamoto zake bhana... Napenda sana wadada wanapenda pesa.. Cha msingi ujue jins ya kuishi nao wasielewe kama hauna. Wanawake kama watoto tuuuu ukimdanganya kula ntakununulia pipi anakubali
 
Hizo nyama za stlye hiyo za lowclass zitakufanya ufe masikini... Raha ya maisha changamoto zake bhana... Napenda sana wadada wanapenda pesa.. Cha msingi ujue jins ya kuishi nao wasielewe kama hauna. Wanawake kama watoto tuuuu ukimdanganya kula ntakununulia pipi anakubali

kwenye umasiki nilishahama nipo level za status...nalihitaji thamani ithaminiwe.
 
Umenena ukweli wenyewe asikwambie mtu kupongezwa raha sana
 
Ni kweli...huyo wa Ushuani labda akupende yeye mwenyewe vinginevyo utaumia,wa level ya chini na kati safi sana hata kwa kuoa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom