Wanawake wenye shepu na sura mbaya wapo katika kampuni ya maegesho (nps)

Kwa hiyo unataka kusema kuwa ukihakikishiwa kutopata kilema chochote kile kwa maisha yako yote yaliyobaki basi ni sahihi kuwabeza wale ambao wana sura mbaya au hata walemavu wengine. Mimi ninaamini sio sahihi kumuita binadamu mwenzio sura mbaya kwa sababu sio sahihi period. Hii mambo ya hujafa hujaumbika haihusiki kabisa hapo.

Btw mimi ukiniita nina sura mbaya wala sijali. Sio ishu kabisa kwangu.
Kwa sababu sio rahisi kuhakikishiwa kuwa hutapata kilema basi sio sahihi kuwabeza wengine kwa namna yoyote ile.
 
Watu mnafuatilia mambo, hivi kila unapo tembelea kampuni unafanya kazi ya ukaguzi eeeeee?
 
kuna KUVUTIA (attractiveness) na UBAYA (uglyness) hivi vitu tunashindwa Kuvitofautisha kabisa! kuna Mademu huwa hawavutii ila si kwamba ni wabaya....
 
kuna KUVUTIA (attractiveness) na UBAYA (uglyness) hivi vitu tunashindwa Kuvitofautisha kabisa! kuna Mademu huwa hawavutii ila si kwamba ni wabaya....
 
Umenikumbusha kamoja kaliacha kunidai baada ya kukaomba namba.. katika eneo ambalo huwa napaki Mara nyingi nikiwa town
 
Back
Top Bottom