Wanawake wenye pesa wanapendelea wanaume mazoba

Kiufupi wanawake wote wanapenda wanaume mazoba ma gentlemen wanawakimbia wanataka wanaume kila kitu yes.
 
Nimefanya tafiti nimegundua wanawake wanaojiweza kiuchumi (wapambanaji) huwa hawapendi kuwa na mwanaume ambaye anajiweza kiuchumi zaidi yake ambaye atamtawala, huwa wanatafuta mazoba ambayo watayatawala.

Mwanaume ambaye anajitambua huwa hawezi kuwa chini ya mwanamke ndani ya nyumba, huwa ana misimamo yake.

Sasa ni ngumu kwa mwanamke mwenye pesa kuwa mnyenyekevu kwa mume wake maana anajeuri ya kipato chake ndio maana wanatafuta mazoba yakuyaendesha.
Source?
 
kwanza ukiwa na mwanamke mwenye kipato kikubwa zaidi yako huwezi kujiamini unapokuwa nae, kuna mwanamke niko nae ana pesa zake, nakosa confidence kabisa ninapokuwa nae, tena akiwa na marafiki zake ndio kabisa, unahisi kama vile wanakudharau. inabidi uwe zoba tu
Mkuu kwani huyo mwanamke unamtegemea kiuchumi ?
Kama unamtegemea kiuchumi lazima ukose confidence, kama kila kitu ana lipia yeye hiyo ni shida kwako.
 
kwanza ukiwa na mwanamke mwenye kipato kikubwa zaidi yako huwezi kujiamini unapokuwa nae, kuna mwanamke niko nae ana pesa zake, nakosa confidence kabisa ninapokuwa nae, tena akiwa na marafiki zake ndio kabisa, unahisi kama vile wanakudharau. inabidi uwe zoba tu
Yaani na wwe unakubali kabisa mke/ mpenzi wako akupeleke kwa mashoga zake!? Alafu wakiwa wanatia story zao na wwe unachangia maada!?
 
Nimefanya tafiti nimegundua wanawake wanaojiweza kiuchumi (wapambanaji) huwa hawapendi kuwa na mwanaume ambaye anajiweza kiuchumi zaidi yake ambaye atamtawala, huwa wanatafuta mazoba ambayo watayatawala.

Mwanaume ambaye anajitambua huwa hawezi kuwa chini ya mwanamke ndani ya nyumba, huwa ana misimamo yake.

Sasa ni ngumu kwa mwanamke mwenye pesa kuwa mnyenyekevu kwa mume wake maana anajeuri ya kipato chake ndio maana wanatafuta mazoba yakuyaendesha.
Wasiwasi wako ndiyo maradhi yako.
 
Back
Top Bottom