Uncle shamtewanaume mazoba ndo wapi hao? mifano tafadhaili
Aaahhhhh weeeee[emoji12]Naona wanaume mazoba mnabishana [emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Pamoja MwambaNaunga mkono hoja. Vigumu kupata mwanamke ana ela anamausiano na mume timamu na akiwa timamu lazima akubali kubebeshwa pochi, kudhalikishwa mbele za watu, kuzungumziwa kama vile hayupo, kusifiwa sifa zisizostahili na mambo mengi yasioyofaa ambayo kiutaratibu sio sahihi
Hilarious [emoji3]Uncle shamte
Inabidi uwe japo na Vijipesa vyako japo za kujimudu mwenyewe 😂🤣🤣kwanza ukiwa na mwanamke mwenye kipato kikubwa zaidi yako huwezi kujiamini unapokuwa nae, kuna mwanamke niko nae ana pesa zake, nakosa confidence kabisa ninapokuwa nae, tena akiwa na marafiki zake ndio kabisa, unahisi kama vile wanakudharau. inabidi uwe zoba tu
sina hakika ila inawezekana 🐒Nimefanya tafiti nimegundua wanawake wanaojiweza kiuchumi (wapambanaji) huwa hawapendi kuwa na mwanaume ambaye anajiweza kiuchumi zaidi yake ambaye atamtawala, huwa wanatafuta mazoba ambayo watayatawala.
Mwanaume ambaye anajitambua huwa hawezi kuwa chini ya mwanamke ndani ya nyumba, huwa ana misimamo yake.
Sasa ni ngumu kwa mwanamke mwenye pesa kuwa mnyenyekevu kwa mume wake maana anajeuri ya kipato chake ndio maana wanatafuta mazoba yakuyaendesha.
Kabisa [emoji3][emoji3] sio unakuwa full dependantInabidi uwe japo na Vijipesa vyako japo za kujimudu mwenyewe [emoji23][emoji1787][emoji1787]
Ili usiwe mnyonge...
NB
LOVE IS JUST LIKE A WAR EASY TO START DIFFICULT TO END
inakera sana demu anakuita sehemu kwenye starehe yuko na rafiki zake wote wamekuja na magari yao, mwamba unaingia na boda bodaInabidi uwe japo na Vijipesa vyako japo za kujimudu mwenyewe 😂🤣🤣
Ili usiwe mnyonge...
NB
LOVE IS JUST LIKE A WAR EASY TO START DIFFICULT TO END
Hapo ujasiri unayeyukainakera sana demu anakuita sehemu kwenye starehe yuko na rafiki zake wote wamekuja na magari yao, mwamba unaingia na boda boda
Mi nasoma comments