Wanawake wenye ndevu

Wanawake wenye ndevu

article-2306272-19321733000005DC-567_634x342.jpg
 
Kuna Hawa wengine wanaota ndevu baada ya kujichubua... Hao usioe
 
Ha...yake haishave vizuri kwa kipilipili type km Rozay.
Huo ndo ubinafs ambao naupinga kila siku. Y umletee ya tofauti na yako? nafikiri ungeleta type moja ila rangi tofauti bhana.
 
Tena ukitaka kuzipunguza hutumii wembe we unazing!ata na meno tu zinatoka ila usizitoe zote.
 
Huo ndo ubinafs ambao naupinga kila siku. Y umletee ya tofauti na yako? nafikiri ungeleta type moja ila rangi tofauti bhana.
Nature ya ndevu zangu ni chronic zaidi ya stealwire tofauti na zake si unazicheki lkn Mkuu akitumia km hii itamkwangua koromeo.
 
Wana bahat ya Pesa balaa chukua huyo faster kama vp nipe namba yake
 
S
As far as ana REPRODUCTIVE STRUCTURES za kike, anafaa kuoa kabisa, kwakuwa hata hizo ndevu zao haziwagi kaa vichaka kama kwa wanaume.

Vuta mzigo huo ndugu.. Maana nasikiaga ati wanakuwaga na akili za maisha sanaaa !
nadhani upo sahihi mkubwa, nina dada yangu ambaye ana akili sana ya maisha, in fact familia bila yeye ni kama haipo
 
S

nadhani upo sahihi mkubwa, nina dada yangu ambaye ana akili sana ya maisha, in fact familia bila yeye ni kama haipo
Tena nilisikia humuhumu JF kwenye thread fulani hivi, ngoja niitafute.......
 
Viumbe nyie acheni kuongopeana, mimi nina ndevu haya yote yanasomwema hakuna hata moja lenye ukweli. Ukiacha biolojia pekee.
 
Ha ha haaaa.mlakini wana sifa ya umwamba fulani hv
nakubali kabisa, namjua mmoja ambaye kwa kweli maisha yake ni mazuri nikimaanisha kipato anacho ila ana misimamo balaaa.

Hadi namshangaa kwa kweli, akisema no it means no na hiyo no yake ina manufaa.

big up timu ndevu.
 
Yaani naisoma hii mada huku nachezea vindevu vyangu vitatu
 
Mkuu ukisoma sana ya huku unaweza kata tamaa maana duh huku kuna watu vivuruge balaa kama. Kuna real love na hajakusumbua wala kukutia shaka Mungu awatangulie.
 
Kama za traffic zimezidi.Udevu Kama wa Chuck Norris.
 
Back
Top Bottom