Wanawake wenye ndevu

Wanawake wenye ndevu

Ni wanaume nusu.. wanakua na marafiki wengi wa kiume.. sauti zao pia za kiume.. wababe.. jeuri.. hawapendi kuolewa..
 
Kwa mujibu wa Dr Mwaka wanakuwa na shida ya uzazi, kwamba inawachukua muda kupata ujauzito. Sina hakika lakini.
 
SIFA YA WANAWAKE WENYE NDEVU ZA ASILI.

1) Ni wajasiri sana na hawaonewi kiboya(Kutokana na hormone zao)

2) Hawana tabia ya kudeka deka kabisa

3) Wana figure za ukweli

4) Wana bahati sana,ukiwaoa mambo ya pesa yanaenda poa.

5) Wengi wao wana sauti nzito ya base,sauti no. 4

Ya 6 siiseni ntapigwa ban
 
nahisi atakua yule msemaji wa jeshi polisi tz Advera
 
Sasa ni;

Naomba wakuu mnieleweshe kidogo.

Japo ni nadra, lakini wapo wanawake wenye ndevu.

Hii inasababishwa na hormonal imbalance.

Lakini kuna tatizo lolote kuoa mwanamke mwenye ndevu?
those are the best women to have
 
wanawake wa kinyakyusa kindali au wanaotoka mbeya wengi wanazo sijui tatizo ni nin!
 
Wanawake pekee waliojaliwa nyota ya utamu ni wenye Kithembe
Dah sasa mtu ushike lipi teh teh hizi ni theories tu sema kwa sababu unaskia kauli hizi zikisemwa sana na kwa muda mrefu inabidi uamini tu
 
Yaan sana nimeprove kwa watu wawili wamama wanamiliki scania kadhaa
As far as ana REPRODUCTIVE STRUCTURES za kike, anafaa kuoa kabisa, kwakuwa hata hizo ndevu zao haziwagi kaa vichaka kama kwa wanaume.

Vuta mzigo huo ndugu.. Maana nasikiaga ati wanakuwaga na akili za maisha sanaaa !
 
Back
Top Bottom