Wanawake wenye ndevu

Wanawake wenye ndevu

Ukiona mwanamke mwenye ndevu kula naye sahani moja na umuoe wana nyota ya utajiri na mafanikio sana
 
Shida inakuja mwanamke ana ndevu mume hana patam hapoo
 
Ni fahari kwamba ndio Nina sauti la kiume, sibabaishwi, na simuogopi mtu Ila ninamuheshimu, si m-bishi Ila ni muelewa ninapokataa kitu Nina maana kwa kweli 90% ya mlichojadili ninacho ndio maana nimecheka sana Ila "pesa sina" halafu si ndevu ni tundevu
 
Shida inakuja mwanamke ana ndevu mume hana patam hapoo
Mkuu hivi huyo jamaa Ana ubavu hata wa kuimbisha hapo? Ktk Me 100 wasio na ndevu Me mmoja ndio labda kaoa Ke mwenye ndevu.
 
Back
Top Bottom