Possibles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 1,942
- 2,469
Wewe utakuwa una ndevu halafu na matege kwa mbaaalihilo la kutongoza sijui.. hakuna ukweli katika hili

Wewe utakuwa una ndevu halafu na matege kwa mbaaali
wanatabia ya kutongoza sana wanaume .
Inasemekana wana bahati sana ya kupata pesa

kuna ukweli katika hili
Inasemekana wakinyoa zinakuwa kwa kasi na wingi kama dume lkn wanatabia ya kutongoza sana wanaume hicho ndio sikielewi kabisa conection ipo wapi ndevu zao na ushapu wa kutongoza wanaume.

We Kozo Okamoto kwa kupenda kula nje, sijuwi utaacha lini? We kila kwenye mikutano ya CCM haukosi ili upate ofa ya bure, utavimbiwa.
Sio kweli ungesema 10% huenda, mbona wengi wenye ndevu ni weusi tu? Hiyo ni hormonal imbalance ni kama wale wanaume wenye sauti nyembamba nao ni mkorogo?
Na yatakuwa yamekupendezea mno..nadhani ww utakua mtoto wa shekhe yahaya sababu una element za utabiri/uganga.. nina matege ya ukweli na ndevu za kutosha