Wanawake wenye matusi

Wanawake wenye matusi

Hahaha unapenda Sana make up wewe!

we acha tu... halafu ile courage ya kukutukana like ***** we, basi atakupa hivyohivyo, lazima ukae

they drive me wild aisee

sorry jameni, si ajabu ndio maana uswahilini kuna utamu wa pekee, ukienda huko hakuna kurudi
 
mmh, unanishawishi kama vile napitwa! ngoja nione kama ulimi unaweza kukubali kutukana lol.
haya bwana, mie wa kijijini, si unajua kijijini hakuna uswahili, kilugha mwanzo mwisho😛hoto:

Mm natokea Tarime,niunganishe naye tafadhali.
hajaolewa na isitoshe yule ni tabia yake si ya kuambukizwa, na ukimuona ni mzuri balaa huwezi amini ana mdomo mchafu kiasi hicho na akipata mwanaume alie gentleman hawezi tulia nae, anapenda walio pinda kama yeye
 
mmh, unanishawishi kama vile napitwa! ngoja nione kama ulimi unaweza kukubali kutukana lol.
haya bwana, mie wa kijijini, si unajua kijijini hakuna uswahili, kilugha mwanzo mwisho😛hoto:
ila kama ni wa kijijini matusi ya kilugha hayana fleva

we imagine mtu anakutukana kinyaturu au kikwere... si vituko hivyo
 
we acha tu... halafu ile courage ya kukutukana like ***** we, basi atakupa hivyohivyo, lazima ukae

they drive me wild aisee

sorry jameni, si ajabu ndio maana uswahilini kuna utamu wa pekee, ukienda huko hakuna kurudi

Narudia tena iluv crazy sex jamani nyie hamjui utamu wake
 
mie mtu akiwa anatukana tukana sana huwa nashindwa kujenga ukaribu nae
 
Narudia tena iluv crazy sex jamani nyie hamjui utamu wake

Ngoja akudharirishe mbele ya watu ukimzoesha.Au akutie dole uone.You like nasty girls huh!

Dirty language kwenye Quadra points haina shida yeah ni kitandani.Hata akitukana kispaniola kama nawatch telemundo chanel poa."Muchacho mi amor uuu mama sita suave mente el dickilo amigo"

Jana aliniuzi.Natoka zangu kucheck Galatasaray vs chelsea eti nimetoka kwa m/ke ndio chanzo cha kupost hii.Afu ni mchumba tu.Matusi kama teja kashituliwa polisi hao baada ya kupoteza stimu.
 
hajaolewa na isitoshe yule ni tabia yake si ya kuambukizwa, na ukimuona ni mzuri balaa huwezi amini ana mdomo mchafu kiasi hicho na akipata mwanaume alie gentleman hawezi tulia nae, anapenda walio pinda kama yeye
Kama yuko smart kichwani na hatukani akiwa na watu asiowafahamu anavumilika!!!!

Nimewahi kufanya kazi chini ya senior mmoja very reputable by then amafariki (RIP) yeye alikuwa ana tabia moja ya ajabu akishakunywa na giza likiingia haendi chooni atakojoa kwenye majani au kwenye hedge tu na alikuwa akisema hiyo inamfanya ajisikie burdaani ile sauti ya chwaaaaa!!!!!!!!
 
kumbe ni kweli eeh? kuna siku mjuba alilalama hapa kuwa mnatembea na wake za watu afu mnawaambia watukane waume zao. nilidhani waswasi wake tu, dooh. sasa na wewe Evelyn Salt akitukanwa unasikia nafuu juu ya hela yake aliyokuchuna afu akakurusha naniliu?
Ujuwe nilitaka nikutaje wewe, sema nilisahahu kidogo tuuu.... Naniliu hairushwi bana, inaghairishwa tu...
 
Acha stigma wewe kuna tusi la kiswahili lisilo na maana kwa hao wasio waswahili????!!

Tuorodheshe hapa??????!!!!!!

1. WTF,LMFAO hayo huku uswahilini utayasikia wapi???!!!!

Hata nyie wa kishua mnatukana ila sababu ndio hivyo tena popular culture mnaona poa tu tena mnasikiliza nyimbo za kishua maneno machafu mbele ya wazee wenu! !!!!!!!!!

Uswazi for life!!!!!!!!!
Please usiwe unantukana. Na mimi sitatukana. Truce?
 
Yani nna rafiki yangu yuko hivyo huwa ananikera kulika maelezo nimeshajaribu sana kumrekebisha lakini waaapi, lakini nilichogundua watu wa hivyo mara nyingi huwa wanakuwa na wanaume wana aina hiyo hiyo pia na wengine wanakwambia hawakuwa hivyo ila wameambukizwa na wanaume zao
Wanawanake wanawake wanawake..... Yaani kila kitu wanachofanya kibaya, utawasikia wameambukizwa na wanaume zao, na kila mwanaume anapofanikiwa, utawasiki there is a women behind hayo mafanikio... Duhhh
 
Kama yuko smart kichwani na hatukani akiwa na watu asiowafahamu anavumilika!!!!

Nimewahi kufanya kazi chini ya senior mmoja very reputable by then amafariki (RIP) yeye alikuwa ana tabia moja ya ajabu akishakunywa na giza likiingia haendi chooni atakojoa kwenye majani au kwenye hedge tu na alikuwa akisema hiyo inamfanya ajisikie burdaani ile sauti ya chwaaaaa!!!!!!!!
she is a very smart young lady na sio kwamba anamtukana tu kila mtu hapana, ila ukishamzoea ndo utazisikia sasa lugha zake za matusi, kama hamjazoeana wala tena yuko charming utampenda utasema mwanamke ndo huu mzoee sasa UTAJUUUUTA, me mwenywe sometimes i wish we weren't friends
 
waambie hao

ile communication barrier inakua imeondoka by default... ni raha hadi basi

Nahisi ni ushamba tu wakizoea watadata kudadadeki hakuna kitu tamu kama crazy sex
U talk all the shit yaan
 
Ngoja akudharirishe mbele ya watu ukimzoesha.Au akutie dole uone.You like nasty girls huh!

Dirty language kwenye Quadra points haina shida yeah ni kitandani.Hata akitukana kispaniola kama nawatch telemundo chanel poa."Muchacho mi amor uuu mama sita suave mente el dickilo amigo"

Jana aliniuzi.Natoka zangu kucheck Galatasaray vs chelsea eti nimetoka kwa m/ke ndio chanzo cha kupost hii.Afu ni mchumba tu.Matusi kama teja kashituliwa polisi hao baada ya kupoteza stimu.

Being nasty ni mpaka kutiwa dole?
 
Hahaha, ndo wadada WA kisasa hao. Sio hadi akasirike, Kuna magroup huko ya whatsup mdada anaandika maneno hadi ukisoma unaskia taabu.

ngoja tujiangalizie na uzee huu

Hebu nipe address zao niwashukie huko nikawapige na neno!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom