Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,690
- 1,294
Weee, wa ushuani nao balaa... Tena utawakuta wanatukana kwa kiinglishi... Maza faka ndo zao sana... Hivi ya ile faki yuu ya kule bungeni ingetakwa kwa kiswahili ingekuwaje...???
Lakini haya matusi ya kiinglish hata hayana ukakasi mkubwa masikioni- jaribu kutuandikia hapa hiyo ya bungeni tupime ukakasi wake, mi ningeandika lakini bahati mbaya kiinglish sikijui vizuri!!!