Wanawake Wenye matusi ya karibu.

Wanawake Wenye matusi ya karibu.

Kuita ivyo sio tabia nzuri ata kidogo maana itatokea siku ukaitwa jina bays mbele za watu ukaishia kuabika tu
ha ha ha ha huwa kuna mipaka naye pia lazima aelewe,kama anajitambua atajua ni wapi na ni wakati gani wa kukuita majina ya namna hiyo
 
Huenda huyo mwanamke alikuwa anafanya kazi Tanesco. Dah! Kule, hakuna staha yeyote. Wao husema ati nguzo haisimami bila kutukanwa wala haitulii kwenye gari bila tusi. Ati hiyo ndo lugha ya kuiinua nguzo isimame. Huwezi amini, hata mtu na staha zake hujikuta anatukana tu
 
ha ha ha ha ni kawaida tu ndio maana kila kampuni ina 'culture' yake
 
Back
Top Bottom